jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Kwanini watu wanapata kitambi na jinsi ya kudhibiti uzito na kuzuia kitambi

    Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
  2. passioner255

    JamiiForums Tanzania Narudia tena kushauri Jinsi ya kuiokoa Tanzania

    Njinsi ya kuiokoa nchi yetu ni kuwaondoa wahuni wote waliopo Madarakani .watu hao wanaunda mpka vikosi vya kigaidi na wanasema hadharani na wanaachwa? Tuiokoea nchi yetu kwa kuwamaliza wahuni wote waliopo madarakani kuanzia juu bila huruma. Baada ya hapo turekebishe mifumo kama ya siasa na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wimbo

    Wakuu samahani Kuna wimbo WA Rhumba wa "Franco Luomba unaitwa Eli Kazho" Mwenye audio au video yake au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuupata naomba msaada tafadhali maana nimetafuta sehemu nyingi nimeukosa
  4. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  5. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata namba ya NIDA?

    Wakuu kwema, Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze. ASANTENI.
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Battery Degradation kwenye EV na Hybrid: Sababu, Athari na Jinsi ya Kuongeza Life Span!

    Wakuu, kwema? Leo tuongelee kidogo kuhusu battery degradation za hybrids (HEV na PHEV) na magari ya umeme (EV), especially used tunayonunua kutoka Japan. Ili kuelewa degradation ya hizi battery, tuanze na utangulizi basics wa EV, PHEV na HEV kwa kutumia mifano ya magari maarufu ya hapa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumshinda shetani

    Jinsi ya kumshinda shetani Shetani ni nani? Tafsiri ya jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu. Jina lingine la shetani ni Lusifa, maana yake nyota ya alfajiri (Isaya 14:12). Jina hili Lusifa aliitwa kabla hajaasi, baada ya kuasi ndipo...
  8. masai dada

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiunga bando kwenye pocket wifi ya Yas.....sijui ndio wanaita post paid, naomba menu yake

    Naomba menu yake please
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  12. masai dada

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
  13. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uume uwe imara

    Uume Imara (Afya Ya Uume): Ili kufanya uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa), unahitaji kuzingatia afya ya mwili, akili, na mtindo wa maisha. Zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu na salama kabisa zinazosaidia uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa); 1) Lishe Bora...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya chai iwe bia

    tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida ) kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya mafuta kipindi hiki cha mzozo wa Iran vs Israeli-Marekani

    Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Video za AI Kwa Kutumia Grok AI (Super Grok)

    Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) imebadilisha sana namna watu wanavyotengeneza maudhui ya video. Leo hii, mtu anaweza kutengeneza video za matangazo, musiki, elimu, au burudani bila kamera, bila studio, na hata bila timu kubwa ya production. Moja ya tools zinazotumiwa sana sasa ni...
  17. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza Facebook Ads hatua kwa hatua

    Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page, ad account, watu wa timu na matangazo yako sehemu moja. Hatua ya 1: Fungua Facebook Business...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Kama Mtu Anakufikiria Bila Yeye Kukuambia ( baada ya kuifanyia utafiti mwenyewe kwa miaka 12 )

    Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea. Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri. mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

    .Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti LAKINI .Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile .Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi .Ununue Bidhaa...
  20. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
Back
Top Bottom