jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania WENGI WANAINGIA KWENYE BIASHARA YA AGRIBUSINESS WAKIAMINI KILIMO KINA PESA, LAKINI WACHACHE NDIYO WANAOJUA JINSI YA KUZIPATA.

    Kuna mfanyabiashara mmoja alianza biashara ya mazao ya kilimo akiwa na mtaji mdogo. Alikuwa akinunua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sokoni. Mwaka wa kwanza alipata hasara kubwa, si kwa sababu hakukuwa na wateja, bali kwa sababu hakujua wakati sahihi wa kununua, namna ya kuhifadhi mazao...
  2. JamiiForums Tanzania Umri mkubwa (uzee)na jinsi ya kujitunza.

    Habari za asubuhi wanabodi na marafiki wa jamiiforum. Kila kitu huchakaa,huchoka yaani kutoka upya wake hadi kuona kitu ni cha kawaida mpaka kufikia kuwa hakiwezi kutumika au kufanya kazi mpaka labda kiwekewe spea,pengine hata kukitupa kabisa. Lakini tuangalie namna mwanadamu asivyo na spare...
  3. JamiiForums Tanzania FURSA KWA WATAALAMU WA CHEMISTRY: Jinsi ya Kuomba Usajili wa Professional Chemist (P.Chem.) Nchini Canada 🇨🇦

    FURSA KWA WATAALAMU WA CHEMISTRY: Jinsi ya Kuomba Usajili wa Professional Chemist (P.Chem.) Nchini Canada 🇨🇦 Je, umesomea Chemistry, Industrial Chemistry, Applied Chemistry, Petroleum Chemistry, Analytical Chemistry au taaluma nyingine inayohusiana na Chemistry? Je, ungependa kupata utambuzi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Makosa 7 ya kawaida kwenye CCTV na PoE Switch – na Jinsi ya kuyaepuka

    Habari wana JF, Nimekuwa nikifanya kazi na mafundi na wakandarasi wa CCTV na network kwa muda, na nimeona makosa yale yale yakijirudia kwenye site nyingi. Hapa nimekusanya 7 ya kawaida zaidi na jinsi ya kuyaepuka. Yatakusaidia kuokoa pesa na kuepuka malalamiko ya mteja. 1. KUTOPIGA HESABU YA...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika. Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo. Natanguliza shukrani
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kununua Blenda Halisi, Epuka Feki

    Kwenye soko la Tanzania lililofurika bidhaa feki na za kughushi, muonekano wa nje na stika za wattage kubwa ni mtego wa kisaikolojia wa kukusanya fedha zako. Wafanyabiashara na viwanda vya bei nafuu hubandika stika za uongo zenye maandishi kama "10,000W" au "Commercial Heavy Duty" kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunufaika na AI kiuchumi

    habari zenyu bhana.......dhumuni la uzi huu ni kuomba wadau wote tupeane nondo za jinsi ya kutumia ai kiuchumi na ai gani zinafaa ambazo zinaweza kutumika kama side hustle/kipato cha ziada au ajira binafsi. karibuni
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadili jina JF

    Wakulungwa hivi ukitaka kubadili jina JF unabadili wap? Nipeni muongozo nataka niweke jina la kibiashara ili iwe rahisi kupata wateja humu JF.
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto za Afya Nchini na Jinsi ya Kupata Payo la Daktari Bila Kufuata Folani

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums, Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula. Moja ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania I Wish Ningekuwa Wakili wa Sandaland: Jinsi ya Kumwanika Makonda Kwenye Sakata la NIKE, Utajiri Wake na Utata wa Jina la Bashite

    Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Sandaland dhidi ya Waziri Paul Makonda si kesi ya jinai ya kawaida, bali...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya makazi

    Wakuu habar ? Naishi Dar es salaam naomba mwenye kujua jinsi ya kupata leseni ya makazi na gharama zake Kwa ujumla.
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujaza profession qualification ajira porta

    Habari wakuu, Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia kitanda chako kiwe na muonekano mzuri

    Huna haja ya kutumia mabilioni au kukaa kwenye hoteli ya nyota tano ili kufurahia kitanda chenye muonekano wa kifalme. Mabadiliko makubwa ya muonekano wa chumba chako yanaanzia kwenye sanaa ya kupangilia kitanda chako kila asubuhi! Ukiangalia mpangilio wa kitanda hiki kwenye picha, utagundua...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia chumba au sebule yako bila gharama:

    Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo. Kama unataka...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha na Kufanikiwa Katika Biashara ya Butcher Tanzania

    Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia. Biashara ya butcher ni miongoni mwa biashara zenye uhitaji wa kila siku kwa sababu nyama ni bidhaa inayotumiwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Makosa ya Kuwekeza kwenye Hisa au Hatifungani

    Habari zenu wakuu, Uwekezaji kwenye hisa au hatifungani (bonds) unaweza kuwa njia nzuri ya kujenga utajiri kwa muda mrefu. Lakini kama ilivyo kwenye uwekezaji mwingine, unaweza kupoteza fedha si kwa sababu uwekezaji ni mbaya, bali kwa sababu ya maamuzi mabaya ya mwekezaji mwenyewe. Katika mada...
  17. JamiiForums Tanzania Mbinu Mpya za Udukuzi wa WhatsApp na Jinsi ya Kujilinda (Mwongozo wa 2026)

    Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp, bali wanatumia mbinu za kilaghai (Social Engineering) kuwahadaa watumiaji. Haya ni mambo muhimu...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  20. B

    JamiiForums Tanzania Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…