jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Uteuzi: Baba Mtakatifu amemteua Padre Joseph Mashaka Triphon kuwa Askofu wa Jimbo jipya la Nzega

    Hongera kwa kupandishwa cheo Hongera kwa uteuzi Menu Baba Mtakatifu Vatican Kanisa Ulimwengu Chagua lugha yako Youtube Instagram Rss Tafuta Tafuta Le Dieu cachè RatibaPodcast Askofu Joseph Mashaka Triphon, C.S.Sp., Jimbo Katoliki la Nzega, Tanzania Vatican Askofu Joseph Mashaka Triphon...
  2. Ndagullachrles

    Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan apiga kura uchaguzi mdogo Jimbo la Chamwino

    Picha mbali mbali zikimuonyesha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, Leo tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo...
  3. Zack Abdul

    TAARIFA KWA UMΜΑ RAIS SAMIA ASHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE, JIMBO LA CHAMWINO

  4. Zack Abdul

    RAIS SAMIA APIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA CHAMWINO

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa Mbunge...
  5. Roving Journalist

    Shigongo amweka ndani Mtendaji wa Kata ya Kafunzo kwa madai ya kutafuna fedha za Mfuko wa Jimbo

    Mwenyekiti wa Mfuko wa Jimbo la Buchosa ambaye ni mbunge wa jimbo hilo Eric Shigongo ameelekeza kukamatwa na kuswekwa ndani Mtendaji wa Kata ya Kafunzo Chuma Sengerema kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za mfuko wa jimbo kiasi cha shilioni milioni tano. Hatua hiyo imekuja baada ya Mbunge wa...
  6. Q

    CHADEMA yalaani uvamizi wa ofisi yake Jimbo la Hai.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026. Hawa UVCCM baada ya kuumbuliwa kudai rushwa wanataka kumalizia hasira zao kwenye...
  7. H

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) 2026.
  8. C

    Wakazi jimbo la California watakiwa kuhama makazi yao kutokana na moto unaoendelea kuwaka

    Maagizo ya kuwahamisha wananchi yametolewa katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Orange (Orange County), California, huku wazima moto wakipambana usiku kucha ili kudhibiti moto unaosambaa kwa kasi kubwa. Kwa mujibu wa maafisa wa Mamlaka ya Moto ya Orange County (OCFA), eneo lililowekewa maagizo...
  9. W

    Naibu Waziri wa Maji Mhe Mhandisi Kundo Andrea Mathew katika mkutano na wananchi wa Kijiji cha Ichemba, Ulyankulu wilaya ya Kaliua.

    https://www.instagram.com/p/DebIsVnonyy/
  10. Ndagullachrles

    Mbunge jimbo la Moshi mjini Ibrahim Shayo alia na mkandarasi mradi wa TACTIC,amuomba Mwanri amtimue akidai hana uwezo

    Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
  11. The Khoisan

    OMO anaposema kuwa Unguja hawakupewa Jimbo hata moja anamaanisha nini? Anabariki jinsi CCM wanavyogawa Majimbo kwenye uchaguzi ....!!?

    Nimemsikia OMO anaongea leo kwenye mkutano. Amedai kuwa Pemba walipewa majimbo Manne na Unguja hawakupewa hata jimbo moja. Je, anataka kukubaliana kuwa haya majimbo sasa yanatolewa kwa hisani ya CCM ama? Kwa jinsi alivyoongea ni kama vile anaomba hisani kwa CCM badala ya kudai haki yao.
  12. H

    Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  13. Idugunde

    Mwenyekiti Jimbo la Geita (CHADEMA)abadilishiwa mashitaka na kusomewa shitaka la ugaidi. Awali alishitakiwa kwa njama za kuua askari

    Ugaidi huu wa Tanzania ni tofauti na ule aliokuwa anaufanya Osama bin Laden?👇
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Lijue jimbo la Galatia lililokuwa maarufu sana zama za Biblia

    Galatia haikuwa mji mmoja, bali ilikuwa eneo (jimbo) katikati ya Asia Ndogo (leo ni Uturuki). Galatia ilipata umaarufu mkubwa katika Biblia kwa sababu Mtume Paulo aliandika waraka maarufu unaoitwa Waraka kwa Wagalatia. Historia ya Galatia Karibu mwaka 278 KK, makabila ya Wakelti (Celts)...
  15. H

    NI ZAMU YA KEREGE: Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    NI ZAMU YA KEREGE Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo ▪️CPA. Subira Khamis Mgalu Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo 🕰️03:00 - 09:00 Alasiri 📆 Jumat
  16. H

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo.
  17. Inside10

    Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026. Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
  18. A

    KERO Kero ya Barabara za Sumve: Miaka 31 Bila Rami!

    Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii limekuwa na wabunge watatu pekee lakini halijawahi kuwa hata na millimeter 1 ya kipande cha rami hii...
  19. U

    Nini maana ya uzalendo

    MAANA YA UZALENDO 1. Tafsiri Rahisi - Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako 2. Mambo Makuu Ya Uzalendo Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi Kutetea uhuru, mipaka na heshima ya nchi Kuheshimu bendera, wimbo wa Taifa na katiba Kulipa...
  20. U

    Kuelekea Mbio za ubunge jimbo la Isimani

    KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ISMANI TAR 11/5/2026 Umoja wa Vijana chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Vijijini (UVCCM) utakutana kwa ajili ya Jogging na vijana ndani ya tarafa ya Pawaga, Kata ya Itunundu jumamosi tarehe 9/5/2026. Mgeni Rasmi Ndugu Anord Mvamba Katibu Siasa...
Back
Top Bottom