jeshi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nitafungua kesi dhidi ya Jeshi la Polisi

    Natarajia kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya jeshi la polisi, naitaka mahakama kuu itoe tafasiri na/ muongozo wa je Jeshi la polisi linaruhusiwa kuteka raia au kukamata raia? Na Je kukamata ni sawa sawa na kuteka? Na je utaratibu wa kuteka raia unatakiwa uweje? Yaani kabla raia hajatekwa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Msajili, Jeshi la Polisi mmebeba dhamana ya amani yetu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano kati ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, vyama vya siasa vyenyewe hasa vya upinzani na Jeshi la Polisi. Ukipekua Katiba ya nchi na sheria zetu unashindwa kuelewa kwa nini haya yanatokea. Kama kila mdau wa siasa angeisoma kikamilifu Katiba ya Jamhuri ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda wa jeshi la nchi kavu la Iran: Tunazifuatilia kikamilifu harakati za Wazayuni

    Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake imetufumbua macho, haki za Watanzania zipo mikononi mwa Jeshi la polisi

    Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania. Lakini kifungu cha 29 kinawapa kiburi polisi kupiga na kutesa watu maana kinasema kama mtu ataubaki...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Rwanda kwenda kukomboa miji iliyokuwa chini ya waasi huko msumbiji je ni kutuonyesha ubabe au?

    Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko kupambana na waasi bila mafanikio ya kurejesha miji hiyo. swali ni Je, Rwanda inatupa ujumbe gani sisi...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi 700 za kazi kutoka Jeshi la Magereza 2021

    Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini
  8. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi makao makuu 2021

    DOWNLOAD PDF FILE CHINI
  9. JamiiForums Tanzania Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi lazuia mapinduzi Sudani

    Jeshi la Sudani limefanikiwa kudhibiti hali ya Mambo mjin Orduman wakati wanajeshi waasi walipojaribu kuteka vituo vya redio na television Source: Habari leo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Najivunia kuongeza idadi ya Watalii, kuongeza mapato na kuanzisha Jeshi Usu

    Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dkt. Kigwangalla amesema anajivunia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake. Mungu ni mwema wakati wote.
  12. JamiiForums Tanzania Guinea: Jeshi lasema halitakubali kushinikizwa kumuachia Rais Alpha Conde

    Wanajeshi waliofanya Mapinduzi wamesema hawatakubali kushinikizwa na kumruhusu Rais Alpha Conde ambaye anashikiliwa tangu kupinduliwa Septemba 05, 2021 kuondoka Nchini humo Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara na Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo walisafiri kwenda Mji Mkuu wa Guinea, Conakry...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Revocat Karemangingo aliyekuwa luteni wa Jeshi Rwanda apigwa risasi na kuuawa Maputo Msumbiji

    Revocat Karemangingo luteni wa Jeshi la Rwanda aliyepinduliwa 1994 na majeshi ya Kagame aliuawa juzi kwa kuvamiwa kwenye gari lake akiendesha kurudi nyumbani kwake kwa kupigwa risasi 9. Alikuwa uhamishoni kama mkimbizi Maputo msumbiji.. Alikuwa Mfanyabiashara na muweka hazina katika chama cha...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

    Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana. Shida ya jeshi la polisi ni latina. Shida ni CCM, Shida ni serikali iliyopo madarakani. Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika. Latina yao...
  15. JamiiForums Tanzania Kutana na ‘Jeshi la Machinga’ lisilo na silaha linavyoitetemesha Serikali hadi inajificha uvunguni

    Wana Jf, Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka sana. Jeshi hili nimeshuhudia pale Kariakoo wakiondoa magari yanayoegeshwa kwa ajili ya parking...
  16. JamiiForums Tanzania Guinea: Jeshi kuanza kufungua Mipaka

    Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais Conde aliamuru Mipaka ya Senegal, Sierra Leone na Guinea-Bissau...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya uwepo wa jeshi la Rwanda Msumbiji na ziara za Mabeyo Rwanda

    Najaribu kuunga dots kuwa huenda baada ya Kagame kupeleka wajeda wake kule Msumbiji ndio chanzo cha ziara ya siku kadhaa ya bwana Mabeyo pale Kigali Mods tafadhali msiufute huu uzi maana hauna maudhui yoyote mabaya
  18. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi halina mbinu, limepoteza sifa ya kuitwa Polisi

    Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu limeishiwa mbinu za kufanya kazi kiuweledi wanalolijua ni kuwakamata wafuasi wa vyama vya siasa...
  19. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari unavyobinywa na Jeshi la Polisi

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga. Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji

    Bunge la Tanzania limepitisha sheria ya kuifanya Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji ili kuwaongezea nguvu kiutendaji. Hatua hiyo itafanya waziri aweze kuunda kanuni dhidi ya jeshi hilo. Baadhi ya wabunge walisema hatua ya kubalisha idara hiyo kuwa jeshi imechelewa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…