jeshi

  1. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Amiri Jeshi Mkuu Samia yuko Imara

    Kuna video inasambazwa ikionesha Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuyumba kidogo. Wengi wanaopost video hiyo wanatia chumvi ionekane kwamba Amiri Jeshi Mkuu ana shida ya kiafya. Majibu kutoka Jeshini: 1. Hakuanguka. Kumbukeni pale ndio alikuwa anaingia kwenye shughuli na alionekana akiendelea na kazi...
  2. BigBro

    JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar lavamia hoteli wanayokaa Taifa Stars kwa madai ya kutaka kuwaondoa wachezaji wenye maambukizi ya Corona

    TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Madagascar. Askari walidai wanataka kuwatoa wachezaji wa Taifa...
  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Taaluma za kuheshimika na muhimu ni hizi sita (6) tu

    Si zaidi ya hapo; ni kama ifuatavyo:- 1. Mwalimu Waelimishaji waliohitimu kwa viwango stahiki wanahitajika sana, na ikiwa utahitaji kujenga jamii imara walimu ni kundi muhimu na la lazima. Ili vijana waweze kubadilisha ulimwengu na taifa, basi hii ndiyo taaluma ya muhimu na ya lazima popote...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa silaha kinyume na sheria kutoshtakiwa ikiwa atasalimisha silaha yake

    Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL FIREARM OWNERS The Government of Tanzania has granted amnesty for illegal firearm owners to surrender...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

    Mwandishi wa Habari mkongwe Gordon Kalulunga anadai kusakwa na Jeshi la Polisi kila Kona ya jiji la Mbeya. Kwa maelezo yake Kalulunga anasema tarehe 6 mwezi huu saa sita mchana alipigiwa simu na Msaidizi wa OCCID wilaya ya kipolisi Mbalizi Christopher Makawia na kumwambia, "tukutane pale Benki...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 1863 Jeshi la kwanza la Nigeria linaundwa

    COMPREHENSIVE HISTORY OF HOW THE NIGERIAN ARMY CAME TO BE The history of the Nigerian Army dates back to 1863 when Lt. Glover of the Royal Navy selected 18 indigenes from the Northern part of what is now Nigeria and organized them into a local force, called the “Glover Hausas”. The small army...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya Isandiwa kati ya Wqzulu na Waingereza, jeshi la Zulu lilishinda

    Jeshi la Uingereza liliongozwa na Jenerali Chelmsford lilipata kipigo kutoka kwa Wazulu.
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Jeshi lakubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito

    Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN) Mjumbe Maalum wa UN, Volker Perthes amesema majadiliano hayo yametoa Muhtasari wa Mpango unaoweza kukabiliana na Mapinduzi ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Machinga: Jeshi kubwa lenye uwezo wa kuamua Mustakabali wetu kisiasa

    Neno Machinga linasimama hapa kwa niaba ya kada yote ya chini, yaani wavuja jasho. Humo kuna Boda boda, wapiga debe, mama lishe, makuli, vibarua, nk, wakiwamo pia machinga wenyewe. Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi? Agenda #1: (Si maneno yangu)...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa majengo Marcus Aurelius ameweza kuweka picha na matukio ya Jeshi la Roma

  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, nadhani umeshapata jibu kuwa Jeshi la Polisi siyo "dumping site" ya" failures"

    Nina uhakika unafuatilia kwa makini nini kinaendelea katia kesi ya Mbowe et al na mashaidi wa Jamhuri kutoka jeshi la polisi. I need not say more kuwa si sahihi kusema polisi hamhitaji div 1 nd 2! For that matter, what is learned from Police witnesses, si sahihi contention yako kuwa Jeshini...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Sudan ladai limechukua madaraka kuepusha vita

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema Jeshi limechukua Mamlaka ili kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe Nchini humo. Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani, Abdalla Hamdok amerejea nyumbani kwake. Imeelezwa, alipelekwa nyumbani kwa Jeneral Burhan kwa sababu ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sifa ya Division 4 na 0 kujiunga na Jeshi: Je, ni mkakati wa kuwabeba ndugu/watoto wa vigogo waliofeli?

    Naiweka kama "Hypothesis" kuwa: Akina Simbachawene and Co. Ltd, (VIGOGO) wana ngudu zao kibao ni failure wa form 4 na 6 ambao Ni Div ZERO NA 4. Sasa kuwapa ajira, sifa ni div 0 na 4. Sifa hizo zitawakumba ndugu zake, watoto wa marafiki na marafiki wao wote.
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  16. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

    .
  17. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa kuwahi kwenye matukio

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi Mkoa maalumu wa Kinondoni chini ya RPC Kingai kwa kuwa na utendaji wa haraka wa kufika kwenye matukio mara wanapopokea taarifa za uhalifu hata ikiwa usiku wa manane. Mimi ni shuhuda maana majambazi waliingia mtaani na mara baada ya Polisi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashauri Kambi zote za Jeshi zifungwe Camera Maalum na zisilindwe tu physically na Wanajeshi

    Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo. Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika. Kama Mzalendo leo nina...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Winston Churchill aliyekuja kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza aliwahi kuwa Luteni wa Jeshi

    Winston Churchill graduated Sandhurst Military College, an impressive twentieth out of a class of 130, in December 1894. Churchill received his commission from Queen Victoria with an effective date of February 20th, 1895, in the Queen's 4th Hussars Calvary. Lieutenant Churchill, aged...
Back
Top Bottom