JESHI la Polisi nchini limesema video fupi inayoonekana ikisambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari polisi akichukua fedha kwa raia wa kigeni, tayari ilishughulikiwa na askari huyo amefukuzwa kazi.
Akitoa ufafanuzi huo leo Septemba 14, 2022, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishina...
Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi.
Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio wenu wa kishujaa, mnatamba barabarani kibabe kwenye ardhi yenu, bendera yenu, taifa lenu.....hii...
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake.
Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi.
Tulitegemea...
Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo.
Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi...
Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine. Hii ni kutokana na kuwa Rusia imekuwa ikipoteza wanajeshi kwa wingi.
Kwasasa Rusia anataka...
RSM / Regimental Sergeant Major.
Kwa waliopitia JKT watakuwa wanajua uzito wa askari mwenye mamlaka ya RSM wa kikosi.
Kwa kawaida RSM ni askari mwenye cheo cha Warrant Officer II, au Warrant Officer I, ktk kikosi husika.
RSM hushughulikia masuala ya utii wa askari wa ngazi za chini kikosini...
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.
Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
Ni mwendo wa kulipua lipua hapa na pale....
A drone strike has hit Russia’s Black Sea Fleet headquarters in the Crimea, Kremlin officials have confirmed.
Social media footage showed a plume of smoke arising from a location in Sevastopol on Friday evening, which is where the fleet is based...
Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni.
Enerhoatom...
Habarini ndugu zangu,
Kama jina “linavyo-display” hapo juu. Baada ya kuhitimu bachelor’s degree miaka kadhaa iliyopita na kusambaza CV ofisi mbali mbali, hatimaye mapema mwaka jana nilipata nafasi kama “intern” kwenye taasisi ya kiserikali (nalipwa 150,00Tsh kwa mwezi, posho zingine kama za...
Jeshi la Zimbabwe latia fora baada ya kuamua kushiriki International army games huko Urusi inayohusisha nchi 30 duniani.
Katika mashindano hayo, kikosi bora cha tanks cha Zimbabwe kimeshindwa kulenga shabaha iliyowekwa, mbali ya kuchukua muda mwingi karibu mara mbili ya muda uliotumiwa na timu...
Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi uliohusisha kila mwanajamii. Ulinzi wa jadi ulikuwa ndiyo msingi wa usalama wa jamii zote kwa wakati ule...
Jeshi la China lilisema lilifanya mazoezi zaidi karibu na Taiwan siku ya Jumatatu wakati kundi la wabunge wa Marekani lilipotembelea kisiwa hicho kinachodaiwa ni himaya ya China na kukutana na Rais Tsai Ing-wen, katika kile Beijing ilisema ni ukiukaji wa uhuru wake.
Wabunge hao watano wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga.
MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA
Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Tanga, siku ya Jumapili Agosti 14 Mwaka huu.
Katika ziara yake mkoani Tanga Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuzindua Chuo cha Jeshi la uhamiaji cha Taifa pamoja na kufunga mafunzo ya askari 818 wa Jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.