jeshi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kila kona wananchi wanasema hawakukuchagua hauna budi kuwa karibu na jeshi

    Inasemekana pale wananchi walipoimba iwe kama Madagascar ndipo jeshi likasaidia ukae madarakanai
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawakamata Watu watatu wakiwa njiani kutorosha Punda 21 kwenda Nchi jirani

    Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU) Kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa Watatu waliokuwa wakitorosha Mifugo aina ya Punda 21 kwenda Nchi jirani pasipo kuwa na kibali. Kamanda wa Kikosi hicho, Kamishna...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tukiendeleza uchawa tutatawaliwa na Jeshi muda si mrefu

    Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mchongo ina dhalilisha Jeshi la Polisi, Offisi ya mwendesha Mashtaka, Mahakama, Majaji na Watanzania wote kwa ujumla wetu

    Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

    Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio. Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  8. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wafanya ziara nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi. Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linaendeleza hofu ya utekaji nchini

    Tukio la kukamatwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (TATAMATA), Godlove Materu limerejesha hofu ya utekaji nchini, kutokana na mtindo wa ukamataji unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini. Materu Materu (45), ambaye ni mkazi wa Chapwa, Mji wa Tunduma, Wilaya ya...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Jeshi la polisi lichunguzwe kwa uhalifu wa wazi na uvunjaji wa sheria .

    JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA. kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi. Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuiwa watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria

    Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuia watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria.
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tesha: Amekataa mauaji na utekaji amesimama na watanzania kulingana na kiapo chake ni jeshi la kuigwa

    Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama mkuu wa majeshi. esha
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Nigeria limefanikiwa kumuua Kamanda wa Boko Haram, Abu Khalid

    Jeshi la Nigeria lilitangaza kuwa limefanikiwa kumuua kamanda muhimu wa kundi la kigaidi la Kiislamu, Boko Haram, katika operesheni ya usiku iliyofanyika jimbo la Borno. Abu Khalid alikuwa miongoni mwa viongozi wakuu wa Boko Haram, kundi linaloendesha shughuli zake zaidi kaskazini mwa Nigeria...
  16. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Wilayani Bunda chukueni hizi dondoo

    Jana nimetumia ukurasa huu kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa operation iliyofanyika majuzi ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa wahalifu watatu waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma nyingi za uhalifu. Hao ni sehemu ndogo tu ya wahalifu ambapo kwa makisio ya haraka 90% ya vijana...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ?

    Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ? ukiwaona wanajitoa akili wewe waulize tu hivi unapigania samia au buku saba ? nyuma ya pazia hawa jamaa hawana time kabisa na samia bali ni njaa na tamaa. hawafikirii watanzania wenzao ni...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ? Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
Back
Top Bottom