Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea.
Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria.
Matukio ni...
NI UGAIDI JESHI KUPIGA WANANCHI WASIO NA HATIA KISA WANAONYESHA HASIRA ZA MWENZAO/WENZAO KUDHURIWA NA MTU/KIKUNDI FULANI.
Anàandika, Robert Heriel
Kamanda wa Tibeli.
Kuna ile tabia ambayo sasa nadhani imezoeleka ya kulichafua jeshi letu au baadhi ya wanajeshi wasiowaadilifu kuchafua kazi ya...
Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata...
Kulingana na radio ya Israel vikosi vya IDF vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya Gaza usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo taarifa zaidi za mashambulio hayo dhidi ya Hamas hayajwekwa wazi.
Habari hizo zinafuatia ahadi ya hapo jana ya waziri mkuu wa nchi hiyo aliposema mashambulio ya kuingia Gaza...
Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu...
Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon.
Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na wakristo.
Hezbollah wapo vizuri hasa katika kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi kama ilivyotokea First...
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.
Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.
Kimsingi baada ya vita ile...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa; Victoria Mwanziva; aunga mkono mafunzo ya Vijana wa Jeshi la Akiba Wilayani Ludewa kwa kuwatembelea Kambini na kuwapatia “TrackSuit” sambamba na kuwachangia sare zao za kuhitimu mafunzo.
Matunzo ya Vijana wa Jeshi la Akiba-Wilayani Ludewa kwa mwaka 2023 yanafanyika...
Palestina kuna makundi mawili yenye nguvu yanayoongoza Palestina.Moja ni la Raisi wa Sasa wa Palestina Mohamood Abbas ambaye ana jeshi lake la Palestine Liberation Amry ambalo ni muunganiko.wa wapiganaji wake wa Fatah na wengine wanaomuunga mkono wao Wao wanatawala West Bank ya Palestine
Mwaka...
Kupitia ukurasa rasmi wa account ya Jeshi la Israel (IDF) kupitia mtandao wa Facebook. Jeshi la Israel limeshutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Israel.
Intelijensia ya Israel inasema kuwa imefanya utafiti kujua makombora ya Hamas yanatoka upande...
Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa.
Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye...
Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera.
Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo Oktoba 4, 2023 umekutana na Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala, Waganga Wakuu wa Manispaa hizo, Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna...
Ziara ya general Manoj Pande kutoka India nchini Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=aIzo8AkcGxE
Mkuu wa jeshi la ardhini la India, General Manoj Pande awasili kwa ziara ya kikazi Tanzania.
General Manoj Pande amekutana na waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Lawrence Tax, na mkuu wa majeshi ya...
Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka.
Kwa hivyo, abiria wa...
Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho.
Barabara zote ni mashimo na gari yakiingia chuo ni hapo yanakuwayanavunjakila kifaa Kwa sababu ya mashimo na viraka vya lami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.