Kutoka Dawati la Habari. Ofisi ya RPC kilimanjaro
Dereva mkongwe wa Jeshi la Polisi Nchini SSGT Hussein Rashidi, amewataka madereva wanafunzi wa Jeshi hilo kuzingatia ubinadamu, nidhamu na uwajibikaji wanapokuwa barabarani.
Amesisitiza kuwa matumizi mabaya ya vyombo vya moto yanaweza...
Jeshi la Polisi nchini Afrika Kusini limeanzisha msako mkali wa kuwatafuta na kuwafikisha mahakamani wahusika wa matukio mawili tofauti ya ufyatuaji risasi yaliyosababisha vifo vya watu 17 katika majimbo ya Gauteng na KwaZulu-Natal.
Kamishna Mkuu wa Polisi wa Taifa, Fannie Masemola, amebainisha...
Haya mabasi ya mikoani ya huwa yana udhulumaji na utapeli mwingi sana hasa kwa watu dhaifu, washamba, waoga na watoto.
Hawa Saratoga wamechukua nauli ya mtoto sawa na ya mtu mzima kutoka Kigoma hadi Morogoro halafu wamemtupia kwenye injini bila siti, uhuni mtupu.
===========
Jeshi la Polisi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe latolea ufafanuzi video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mtoto mmoja anajulikana Imma Hassan Mhema akimkatalia mama yake mzazi kurejea nyumbani.
Akizungumza na vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)...
Ninaomba kuwasilisha suala hili zito la ukiukwaji wa haki za binadamu na sheria za nchi unaoendelea hapa Wilayani Kyela ili liweze kuwafikia viongozi wakuu wa TAKUKURU, Jeshi la Polisi, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, pamoja na watetezi wa haki za binadamu...
Vyombo hivi vina wajibu wa kulinda taifa, usalama wa wananchi na mamlaka ya kikatiba. Hata hivyo, kumekuwa na maswali na tuhuma zinazohitaji uchunguzi kuhusu mipaka ya ushiriki wake katika siasa.
*Baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola kuteuliwa kuwa Wakuu wa Mikoa au Wilaya, hali inayozua...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watu wawili, akiwemo dereva wa mtambo wa kuchimba udongo (Excavator), Halidi Seleman Kalaghe, mwenye umri wa miaka 45, kwa tuhuma za kuharibu mali za mwajiri wake, kampuni ya China Energy Engineering Group Guanxi Hydroelectric Construction...
Wakili wa masuala ya haki za binadamu William maduhu amefungua maombi ya Habeas Corpus katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, akitaka Jeshi la Polisi limwachie huru mwandishi wa habari anayedaiwa kushikiliwa na jeshi hilo kwa zaidi ya siku 21 bila familia yake...
TAARIFA KWA UMMA
UKAMATAJI HOLELA WA VIONGOZI NA WANACHAMA.
Kwa muda mrefu sasa Jeshi la Polisi nchini limekuwa likiendelea operation ya kimya kimya kukamata viongozi na wanachama wetu, kisha kuwashikilia vituoni kwa muda mrefu ambako wamekuwa wakiteswa wakilazimishwa kukiri baadhi ya tuhuma...
Taarifa za awali zinaeleza kuwa Gwamaka amekamatwa na Jeshi la Polisi leo asubuhi majira ya saa moja (7:00), kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mke wake aliyepiga simu kutoa taarifa hiyo.
Wakati taarifa hizo zikiendelea kufuatiliwa, pia kumekuwa na taarifa nyingine zinazodai kuwa Mwenyekiti...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane...
Siku kadhaa zimepita tangu Inspekta wa Polisi Salim Hussein Ng'anzi ashinde Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026, afande huyo amemtaja Mbunge wa Buchosa (CCM), Mkurugenzi wa Global Group na Mwamasishaji, Eric James Shigongo kwamba, amechangia yeye kufika alipo sasa.
Afande...
Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa.
Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
https://youtu.be/izWs1lJ4QrI?si=T7BS6pnvbL4C6Ynx
1. Kuna baadhi wahanga bado wanauguza majeraha ya risasi za polisi mpaka leo. Wataka serikali iwafidie gharama
2. Mama mmoja aliyekuwa mwanae mmoja wa kike na wa pekee aliuwawa kwa risasi za polisi akiwa dukani akinunua vocha ya simu..
3...
Ukiyatafakari kwa kina matamko ya jeshi la polisi na madai ya Mange Kimambi utagundua kuwa;
Ni kweli polisi wamepanga kuwakamata wanasiasa baadhi wa chama cha upinzani na wengine wachache sana(au mmoja tu) wa chama tawala pamoja na baadhi ya viongozi wa dini.
Haya matamko ya leo ni maandalizi...
Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote...
Mwenyekiti wetu wa Vijana kanda ya Victoria, Fred Masele anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za Uchochezi, tumekwenda kumwona Polisi Central Kirumba.
Tumefika majira ya saa Kumi na mbili na nusu tukiwa na mama na baba yake mzazi Mzee Masele, Mkurugenzi wa mafunzo na Uenezi Stephen Odipo...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA”, iliyotekelezwa katika Kata ya Ketaketa na Kijiji cha Ketaketa, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro.
Programu hiyo imelenga kuwapa wananchi fursa ya...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA,” iliyotekelezwa katika Kata ya Lukande, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro.
Programu hiyo inalenga kuwapa wananchi fursa ya kueleza kero na changamoto...
Ndugu wanajamii,
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu
. Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.