Matukio matatu yalio wahi kunipata,
1. Tukio la kwanza
Huyu ni pacha wangu wa kuzaliwa, ni demu. Tulipokuwa na miaka kama 17 hivi, alikuja geto kwangu akalala huku anaonekana ana mawazo vile. Nikamuuliza, “Huu usiku nataka kulala na mwenzangu mmoja, mvulana, tupishe.” Akagoma, kalala tu...