Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:
Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist
Wakuu,
Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu katika jamii zetu kuhusu changamoto za malezi, hususan pale mzazi mmoja anapolazimika kuishi na mtoto asiye wake wa kumzaa (mtoto wa kambo). Tukio la hivi karibuni kutoka nchini Uganda limeibua tena simanzi na maswali mazito kuhusu usalama wa watoto...
Mheshimiwa Lissu anatamani afungwe ili awe siti moja na Nyerere, Kenyatta, Mandela, Kaunda na Mugabe. Nadhani tumuache aendelee na kifungo.
https://youtube.com/shorts/HOJXYfboUkA?si=p1x7sIbU9YOctQuL
Mahakama moja nchini Algeria Jumanne imemhukumu mwandishi Kamel Daoud na mkewe, Aicha Dahdouh, kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja, bila wao kuwepo mahakamani, kwa tuhuma za kufichua siri za kitabibu na kuvunja haki ya faragha ya mtu.
Kwa mujibu wa gazeti la Algeria la El Khabar, hukumu...
Elizaphan Ntakirutimana
Elizaphan Ntakirutimana (Mchungaji mwandamizi wa zamani wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Rwanda): Alihukumiwa kifungo cha miaka 10 jela mwezi Februari 2003 na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ajili ya Rwanda (ICTR) kwa kosa la kusaidia na kuwezesha mauaji ya kimbari...
Lisu yuko kwenye Wrong National akipigania watu very wrong na sina hakika kama Lisu hilo analitambua ama la.
Ona sasa anaenda kuozea jela na maisha mataani yanaendelea, Wanao piganiwa hawana habari kabisa, life inaendelea na mbaya zaidi ni kama hakuna kilicho tokea, Lisu namlaumu sana, namlaumu...
Itawezesha kuidhoofisha au kuiua kabisa CHADEMA?
Itampa Samia ahueni ya kutawala bila ya usumbufu?
Itaifanya CCM kubaki madarakani bila ya hofu ya kuondolewa kwa nguvu
Kwa bahati mbaya, matamanio yote hayo ni hewa tupu.
Ukombozi wa taifa hili hauwezi tena kuvurugwa na kundi la watu waovu...
Licha kuongeza chuki na hasira miongoni wa wanachadema na watanzania kwa ujumla, athari za hukumu hii ni kuwafanya viongozi wa CHADEMA na watanzania kwa ujumla kuona hawana tena cha kupoteza iwepo na wao watashitakiwa na kufungwa jela
Mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie amehukumiwa kifungo cha jumla cha miaka 200 gerezani kutokana na mauaji ya watu 191, wakiwemo watoto 190, katika mkasa wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Jaji Diana Kavedza wa Mahakama Kuu ya Mombasa.
Mahakama...
Naomba mseme UKWELI nyie wenyewe je hii hukumu ya LISSU kisiasa mnaona imekaa sawa? Je mnafurahia katika ngazi ya chama kwamba mmeepata ushindi Kwa Kufungwa kwake?
Hebu ngoja niwakumbushe tu!
1. Uchaguzi wa 2025 Chadema hawakushiriki na Lissu alikuwa jela! Walioandamana walikuwa wanasema...
Kutoka Dawati la Habari ofisi ya RPC kilimanjaro
Mahakama ya Wilaya ya Moshi imemhukumu Daniel Samwel Njakava, maarufu kama 'Kelvin', mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Pasua, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa...
Mwanaharakati maarufu wa demokrasia nchini Hong Kong, Joshua Wong, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela siku ya Alhamisi kwa kosa la kushirikiana na mataifa ya kigeni.
Tayari ametumikia karibu miaka sita gerezani, na alitimiza umri wa miaka 30 mwezi uliopita. Kiongozi huyo wa zamani wa...
Mahakama ya wilaya ya Kilwa imemhukumu Muharami Hassan Nayonga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumkuta na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na watu mbalimbali.
Muharami ambaye ni mlinzi na mkazi wa Kata ya Masoko, alikamatwa Aprili 13, 2023, baada ya kumshawishi kwa kutumia...
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Mahakama ya wilaya ,wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ,imemhukumu kwenda jela miaka 30 Festo Richard Shirima baada ya kupatikana na hatia katika shitaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 17
Mshitakiwa huyo alikamatwa Mei...
Maisha yanaenda kasi sana , nakumbuka tukio la Papii Kocha & Nguza Viking kwenye wimbo wao wa Seya , baadaye series ikaendelea akatoa wimbo wa Salima .
Mtu fudenge akamchapa mvua ya kutosha , sasa bwana Bushoke akaamua kwenda jela kumtembelea msanii mwenzake akapewa mkanda mzima wa kesi...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania
Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16.
Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 08, 2026, katika Kesi Na. 19961 ya mwaka 2026, na Hakimu Mkazi Deliphine Kimati...
Muigizaji Mkongwe Nyota Kwenye Kiwanda Cha Filamu Tanzania Aunty Ezekiel amezua taharuki leo kwa muonekano mpya akiwa amevaa mavazi ya Magereza na amenyoa kipara. Siku ya jana Oktoba 6, 2026 kuna video pia ilisambaa mtandaoni akionekana anakamatwa na Polisi lakini hekaheka zake zote leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.