Matukio yaliyotokea Oktoba 29 tunayajua wote. Amri ilitoka kwake. Watu kupotea, kutekwa, kufungwa kwa mazingira yenye utata na kuuawa, akiwemo Kibao, ni mambo ambayo yanahitaji uwajibikaji. Hivyo, anastahili kuwajibika waziwazi.
Pia, wawekezaji waliowapa nafasi nchini humu wanapaswa kutambua...