Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata ya kuhifadhi mazao ndiyo huamua kama jasho lao litageuka kuwa fedha au kupotea bila faida.
Baadhi...
Kuna Siri CCM inaficha watanzania na ambayo itakuja kutuumiza au kuumiza vizazi vijavyo. Kuna kitu CCM inakilinda kwa jasho na damu, ni kitu Gani hiki?. Kwa fikra zangu za kawaida sidhani kama ni madaraka. Kuna kitu Zaidi ya hapo.
CCM wapo tayari kummiminia risasi raia Tena kwenye maeneo ya...
Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂
Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.
"Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno.
Katika sehemu...
Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata ya kuhifadhi mazao ndiyo huamua kama jasho lao litageuka kuwa fedha au kupotea bila faida.
Baadhi...
Habari zenu wadau wa jf.
Leo nimeona ni address tatizo langu humu nikiamini kwamba kuna wasomi wa hali ya juu humu na watundu wa kudadisi mambo
Mimi nina changamoto ya kutoka jasho kupita kiasi hasa maeneo ya shingoni, kichwani na mgongoni.
Nikilala kitandani yaani godoro linalowa jasho...
Ndugu zangu Watanzania,
Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama.
Unaweza kumtikisa...
Habari zenu,
Mtoto wangu wa kike miaka 5 darasa la kwanza, anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele kama picha ninavyonekana, hali hii inasababisha kushindwa kuandika vizuri maana analalamika mikono kuwasha na kulowana kwa jasho, kwa nayejua jua dawa au maarifa naomba msaada...
Salamu sio lazima twende moja kwa moja kwenye kisa Cha kweli chenye hekima kubwa👇
Zamani kidogo, kulikuwa na mzee mmoja tajiri na mchapa kazi aliyekuwa anamiliki mali na biashara nyingi. Alikuwa na mtoto mmoja wa kiume aliyekuwa mvivu sana, asiyetaka kufanya kazi yoyote na aliyekuwa anasubiri tu...
Ndugu zangu Watanzania,
Duniani Kote na Mataifa yote yanayojitambua hulinda Amani Na Usalama kwa nguvu zote na kwa kila njia . Mataifa yote kuanzia yale Makubwa hadi Madogo hulinda Amani na Usalama kwa jasho na Damu.
Tangu enzi na Enzi tokea kuumbwa kwa Ulimwengu Huu Usalama wa Himaya ama...
Haiwezekani mtu avuke step za matambo kiasi hicho leo amepangishiwa na bwana magomeni baada ya miaka mitatu anawauzia viwalo toka dubai na ana range rover yenye jina lake.
Kitu nimegundua mdada akishaziliwa ngozi nyororo, makebo makubwa, umbo nane, aposti picha za kutega mitandaoni na awe na...
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume.
Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani lakini cha kusikitisha ni kwa lift za jengo lile ni nne (zilianza kufa kuharibika moja baada ya...
Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU
leo nmemfunza kitu huyu bodaboda.
Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa.
Alivyokata...
Utangulizi:
Maandishi haya yanawajia ndugu zangu baada ya matukio kadhaa yaliyojiri katika nchi yetu. Mwandishi ameona ikiwa ni vyema tukapata mda wa kukaa na kutafakari japo kwa njia hii ya fasihi haya yaliyojiri na pia kuhakikisha kuwa yaliyotokea yasisahaulike au kubezwa bali yawe funzo na...
Ukisikiliza mashairi ya wimbo huu ulioimbwa miaka 24 iliyopita utasema kauandika jana maana aliyotasema yote ndio yanatokea sasa nawaza kipindi kile prof Jay hakuitwa mhaini na wimbo ulipigwa bila shida je ingekuwa leo hii ingekuwaje
Ebu pitia you tube usikilize
Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!.
Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia.
Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.