jangwani

Jangwani is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam city in Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 15,722.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Mvua Dar; Jangwani panapitika leo?

    Habari wakazi wa Dar es Salaam na viwanja vyake. Nina safari ya kwenda mjini Posta leo. Hii mvua ilivyonyesha hii asubuhi Jangwani panapitika kweli? Kwa walioenda mjini kupitia njia ya Morogoro naomba mrejesho. Shukrani.
  2. M

    KMC FC nimeshamaliza kila Kitu, tafadhali msiniangushe leo mnapocheza na Njaa Vitisho Malalamiko Albadiri Jangwani FC kwa Mkapa

    Nataka tu Mshinde au Mtoke Sare tu, ila msikubali Kufungwa kabisa leo kwani mtanikera. Hao Mabeki wenu waambie Wawagongegonge ( wapige Buti ) sana akina Kisinda na Ntibanzonkiza. Tumeshamaliza Jukumu la Kimataifa ( CAF Champions League ) na tunarudi VPL. Nawaonea mno Huruma watakaokutana na...
  3. N

    Fiston na Kisinda waleta raha mpya jangwani yanga

    Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea kuwa mazuri kwa wana yanga kwani baada ya mgogoro kumalizwa rasmi na Mwenyekiti leo wachezaji wao...
  4. Sky Eclat

    Watawala wetu, tatizo la maji Jangwani tulitegemea litapewa kipaumbe

    Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar. Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati...
  5. J

    Mchungaji Matsai: Watanzania tunatambuana kwa Utanzania wetu na siyo Dini zetu, serikali ijenge fly over Jangwani!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewataka watanzania waendelee kuwa wamoja kwani nchi yetu haina dini ila watu wake ndio wana dini. Matsai amesema hayo mbele ya Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo na Naibu Spika Dr Tulia Ackson aliyeshiriki ibada Kanisani hapo. Kadhalika mchungaji...
  6. Leak

    Mhe. Rais usikubali eneo la Jangwani kutumika kama uchochoro wa kula pesa, limegeuka mradi wa kifisadi

    Wasalaam wana jamvi. Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na kuchimba mitaro kwa sababu hivyo vyote havijawahi kuwa suluhu kabisa pale Jangwani kwani kila leo...
  7. MIMI BABA YENU

    Serikali yatenga Bilioni 4 kuimarisha miundombinu Jangwani

    Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya Jangwani mara baada ya uhakiki wa makisio hayo kukamilika na kujiridhisha. Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Morogoro Road yafungwa Jangwani

    Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani limefunga kwa muda barabara ya Morogoro eneo la Faya hadi Magomeni jijini Dar es Salaam kutokana na maji kupita juu ya daraja la Jangwani. Mvua kubwa zimenyesha Kisarawe na kusababisha mafuriko kwenye bonde la mto Msimbazi.
  9. Kanungila Karim

    Mchakato ujenzi barabara ya juu Jangwani waanza

    Meneja wa Wakala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ngusa Julius, alibainisha kuanza kwa mradi jana alipozungumza na Nipashe kuhusu suluhisho la adha inayoendelea kuwatesa watumiaji wa barabara hiyo hasa mvua inaponyesha kwa wingi na kusababisha Mto Msimbazi kukata mawasiliano ya barabara. “Kuna...
  10. J

    Wadau leo jangwani panapitika?

    Salaam kwenu wakuu. Nauliza tu wale mliowahi mjini leo, je daraja la jangwani limeshafunguliwa? Mungu awabariki. Maendeleo hayana vyama!
  11. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam. Hivyo, tunawashauri wasafiri wetu kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara. Wakifika Morocco wanaweza...
  12. Mkaa wa mawe

    Haya maneno ya mtangazaji wa Uhuru FM kwa wanafunzi wa Jangwani mnayaonaje?

    Lengo la uzi halipo kisiasa wala kuegemea au kushambulia upande wa chama chochote cha kisiasa. Leo nilikuwa nasikiliza redio stesheni ya Uhuru FM. Walikuwa wanahoji wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 shule ya Secondary Jangwani kuhusu "kwanini Magufuli miaka mitano mingine" Ila kuna...
Back
Top Bottom