JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.
JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.
Dr Faustine Ndungulile ambaye ni Naibu Waziri wa Afya ameipongeza na kuishukuru Jf kwa uchambuzi makini na kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Corona .
Hii ni heshima kubwa sana kwa Wanachama wote wa JF
Wito: Tuendelee kuelimisha wananchi wenzetu namna bora ya kujikinga na Corona .
Mungu...
Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na mwenzake Mike William) imeendelea leo tarehe 23 Machi 2020 mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Katika shtaka la pili kwenye Kesi hiyo, Watuhumiwa wanashtakiwa kwa...
Habari Wakuu,
Siku ya kusheherekea siku ya Mwanamke duniani, inahusu si wanawake tu, bali hata wanaume pia. Hii ni siku maalum ya kila mwanadamu kutambua umuhimu na nafasi ya Mwanamke kwa kumwangalia kama mwanadamu na si kwa vigezo vya sifa ya kuzaliwa Mwanamke. Na kwamba anastahili haki na...
Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao.
Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake.
Mungu ibariki JF
======
BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JAMIIFORUMS
Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke leo Machi 06, 2020 ametembelea Makao Makuu ya JamiiForums...
Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Februari 19, 2020 hadi Aprili 02, 2020.
Hukumu hii awali ilipangwa kusikilizwa...
Habari za jioni wakuu.
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro.
Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao...
Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida .
Mfano mafua makali
Kichwa kuuma
Mwili kuchoka haraka
Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk.
Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf?
Kuna wakati...
Baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kuupindisha ukweli ndani ya JF na kuanza kuwafanya watumiaji wa JF kudhani kuwa aidha wanaonewa au kuna jambo nyuma ya pazia. Ni wakati muafaka wa kuwafahamisha watumiaji wa JF (wanachama na wasio wanachama) nini hufanywa na moderators na kwa misingi ipi...
Ukienda kule Instagram, Twitter na Facebook, followers ndio habari. Hadi watanzania wengine wanauza account zenye followers wengi. Najaribu ku imagine kama JamiiForums ingekua na kitufe cha Followers, unahisi nani angekuwa na Followers wengi, na je mnaonaje hii feature ikiwa introduced hapa JF?
Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo?
Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi?
Sky eclat
Erthrocyte
Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post yangu?
Basi kupitia Uzi huu nimuombe tal afungue I'd yake ambayo ni verified ili tuweze...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA.
Dar es Salaam. 06 Januari, 2020
Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
Wana JF,
Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita.
Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF.
Ni media ambayo hufichua maovu...
Sheikh Bura alikutwa amekufa ndani ya ofisi yake. Afande Muroto anasema sababu ya kifo ni moyo wa Sheikh Bura " kufeli. " Taarifa za watu wengine zinadai mwili wa marehemu ulikutwa na majeraha matatu.
Zaidi, soma: Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna...
kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojiri Tanzania,.
Je, ni muda sasa kueleza matukio hayo kwa filamu?
Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Ikiwa wapo wataalamu wa masuala mbalimbali na kila aina ya watu hapa JF
Tunaweza kushuhudia kitu kutoka kwa Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ...
Kuanzia Jana nikiwasha PC na kuingia JF kuna vidubwasha vyeupe vinakuwa vinapita pembeni ya screen kama vinaanguka chini, VINANIKERA BALAA. Sijui vina maana gani, viangalie kwenye video hii
December 16, 2019
Mwanzilishi wa JamiiForums akizungumzia kuhusu tuzo aliyopewa hivi karibuni na jinsi mtandao huu unavyokabiliana na hali ngumu ya kutenda kazi hasahasa tukiangazia mazingira ya sasa Tanzania.
Hofu inajengwana na waandishi wenyewe lakini kama mitandao inafuata sheria na kanuni...
Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
Waacha wagawianeni vyeo lakini tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.