jamii

  1. Q

    HOJA Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini

    Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini? Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao, unawawezesha vijiji vyote. Kwa nini mada hii ina nguvu: 1. Wao ndio daraja kati ya serikali na wananchi...
  2. Wanaripoti Bloomberg Business : Tanzania Yaongeza Bajeti ya Miundombinu na Huduma za jamii Licha ya Kunyimwa Misaada

    Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii...
  3. M

    Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
  4. M

    Nimerudi jamii forum

    Habari wakuu baada ya kupotea kwa muda nimerudi na account nyingine jamii forum.
  5. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  6. Hivi kuna jamii yenye wanawake warembo zaidi ya wanawake wenye asili ya Africa?

    Ebony queens👑
  7. Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
  8. A

    KERO Chuo cha Ustawi wa Jamii wananyanyasa wanafunzi waliopungukiwa ada

    Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam. Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye installment ya 3. Kumbuka ni mitihani ya CA sio hata mtihani wa mwisho wa semester. Sasa, mimi...
  9. Labda kama exposure imebadilisha watu ila watu waliokuwa wanaoa wanawake wa jamii zilizopo kando kando na visiwan mwa ziwa victoria walikuwa wanakiona

    Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana. Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
  10. Responded Sospeter Mtwale: Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla. Bw...
  11. Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  12. Arusha imekuja kuwaje? Mkoa Mzuri Ila Jamii Inaangamia

    binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu. Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine...
  13. Upendo, wema na uhusiano kwenye jamii

    Habari zenu, Wengine shikamoon. Si ujanja,wala usistaduu, kwenye kuishi na watu,bali unyenyekevu kama tunavyofundishwa kwenye nyumba za ibada unaweza kutuweka katika mazingira bora na kuwa na jamii makini. Kwamfano nimechunguzaaa nimegundua wachamungu wengi Wana heshima kwenye jamii kuliko...
  14. PEMBA: Waandishi wa Habari watakiwa kukaa karibu na Watafiti ili waibue matatizo ya Jamii

    Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
  15. M

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  16. A

    KERO Kero ya muundo wa ustawi wa jamii ndani ya halmashauri

    Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini. Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu zilitenganishwa tayari, bado katika Halmashauri nyingi Ustawi wa Jamii inaendelea kubaki chini ya Idara...
  17. N

    Package ya kiongozi bora hapa tanzania ifanyiwe reforms. Awe anajua masuala ya kijamii,ngaz ya jamii yanavyotatuliwa.

    Wqkuu salama? Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni. Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
  18. M

    Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  19. Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Dar es Salaam 14 Mei, 2026 YAH: KUVUNJWA KWA BODI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
  20. Wajibu wa Askari jeshi kwenye jamii ya Kitanzania. Je, unatekelezwa?

    Wajibu mkuu wa askari jeshi kwenye jamii ni kulinda katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao. Wanajeshi (kama vile wale wa JWTZ au majeshi ya ulinzi ya kikanda) wana mchango mkubwa kijamii, kiuchumi, na kiusalama. Majukumu ya msingi ya askari jeshi katika jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…