jamii

  1. Hivi Jamii Forums haiwezi kutengeneza Bidhaa (merchandise) zake zikaitwa jina moja tu Jamii

    Nimetest hii AI yangu ya kichovu wamba njooni mtie nyama 😃
  2. K

    Kumbukumbu ya Maisha ya Dolly Parton: Malkia wa Muziki, Muunganishaji wa Jamii na "Nyumba Aliyoijenga Whitney Houston"

    https://www.youtube.com/watch?v=GnLITwQf8s8&list=RDGnLITwQf8s8&start_radio=1 https://www.youtube.com/watch?v=3JWTaaS7LdU&list=RD3JWTaaS7LdU&start_radio=1 Wana-JF, Leo tunamkumbuka mwanamuziki wa kipekee, mfanyabiashara, na mwanaharakati wa kimyakimya wa haki za binadamu, Dolly Parton...
  3. Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

    Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa. Sifa za Wapashiwa. 1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...
  4. N

    Dunia na jamii ya leo Inahitaji Kujua nini Kinachoendelea, Sio nini Kilichotokea

    Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia. Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya...
  5. Utaratibu wa mfungwa aliye gerezani kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii

    Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii: Mwandishi: Zakaria Maseke (Mwanasheria) (0612275246/0754575246) Makala hii inachambua utaratibu wa kisheria wa kubadilisha adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii...
  6. M

    KERO Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kinachelewa kupitisha matokeo ya Level 6 kwenye mfumo wa NACTVET

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha. Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026, lakini hadi sasa chuo hakijayawasilisha NACTVET ili tuweze kupata AVN Number. Namba hiyo ni muhimu kwa...
  7. Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  8. M

    Haitoshi kulipenda gari lichunguze linachukuliwaje na jamii, kuna magari ambayo yamejipatia umaarufu kutumika na watu tofauti na ulivyo

    Toyota IST, Raum - Moja kwa moja unaonekana ni mtu unaebana sana pesa, kama huna taabu kuonekana hivyo si mbaya ila ndivyo utavyochukuliwa Toyota Altezza - gari iliyojipatia umaarufu kutumiwa na vijana wadogo hasa miaka 18 hadi 26 wanaopenda drifting, kelele nyingi na kukimbiza barabarani, hawa...
  9. M

    Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Bila kupoteza muda Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo Mpk sasahivi viongozi bado wanahaha namna ya kugeuza kipigo Nawathibishia Leo Simba anashinda Ewee shabiki wa Mnyama...
  10. Nimeshavuka hofu

    Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote.. Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni. Siongei haya...
  11. Kwa kipato cha million 1 Kwa mwezi sina akiba bank Wala kipato cha ziada nawezaje kujenga nyumba ya ndoto yangu ya vyumba 3 yenye kila kitu muhimu....

    🏠 UNA MILIONI 1 KWA MWEZI? UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO NDANI YA MIAKA 2! Mtu mwenye kipato cha TSh 1,000,000 kwa mwezi, hana akiba benki wala kipato cha ziada — anawezaje kujenga nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu ndani ya miaka 2 bila kichwa kutuma? 😂 Jibu ni moja: NIDHAMU + MPANGO +...
  12. Jamii ya Wandondi na Wandwewe yaomba amani Tanzania na Afrika

    Na Mwandishi Wetu. JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano na Ulinzi wa Maisha ya Binadamu. Dua hiyo ni mwito wa pamoja unaolenga kuwakutanisha watu wa imani...
  13. Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  14. N

    The Ages of AI na JamiiAI: kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza Tanzania

    Habari wakuu, Miaka michache ijayo, kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza. Kama ilivyo kwa simu janja ambazo zamani zilionekana kuwa za kipekee, roboti nazo zinatarajiwa kuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Roboti ni Nini? Roboti ni mashine iliyoundwa...
  15. Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

    Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea... Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini? Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli.. Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi...
  16. Eng. Hersi: Kombe la Ngao ya Jamii 2025 limeibwa wakati tunasherehekea parade

    Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said anasikitika kuwatangazia kuwa Ngao ya Jamii 2025 imeibiwa wakati wa kusherehekea Parade Yao na ameomba Kwa aliyechukua Ngao hiyo anaombwa airejeshe Makao makuu ya Klabu hiyo. Ameyasema hayo akizungumza katika mkutano mkuu wa klabu ya Yanga ambapo ameeleza...
  17. Ni kwanini Media za Bongo zinatoa sana airtime kwa mambo yasiyo na tija kwa jamii kuliko yale ya msingi? Nimeamini kupitia sakata la Doto Magari

    Habarini wakuu.. Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa. Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
  18. Hivi humu JamiiForums inawezekana kuipata namba ya simu bila ya mhusika kutoa?

    Husika kichwa cha habari hajuu nataka kujua je inaweza kupata namba ya simu ya Mchangiaji yoyote humu bila yeye kukupa? Kwasababu humu kuna watu aina mbalimbali wanafatilia Coment za kuisema Serikali, kuna namba inanipigia simu bahati mbaya nakua sipo karibu na simu na niki jaribu kuipgia...
  19. Tuiombe jamii ya kimataifa itusaidie kukomesha ugaidi TANZANIA

    Naona serikali ina hamu ya ugaidi Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi Hii sio nzuri polisi tendeni haki
  20. Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

    Kazi ni kipimo cha utu. Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza nikiingia kusoma naanzaanzaje, twende kwa mifano 2026 FIFA World Cup - Special Thread Ukiingia humu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…