jamii

  1. R

    Tafakari ya leo: Watu au makundi ya watu yasiyoaminika katika jamii

    Kuna watu au makundi ya watu wakitoa kauli si rahisi kuaminika. Ni watu gani au makundi gani ya watu hawaaminiki KATU? 1. Polisi 2. CCM 3. Bakwata 4. Malasusa 5. ACT ( baadhi excluding Ado Shahibu) 6. Mahakama Ongezea..... Bottomline ni kuwa yeyote asiyekemea maovu yanayoendelea Tanzania ni...
  2. Jamii yetu ya israel,tunabadilisha mwaka usiku wa Sept 20,kuamkia 21st kama mwaka wetu mpya

    Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa tarumbeta zetu ambazo tunaziita SHOFAR,pamoja na kula mikate yetu ambayo hatuweki hamira,hukandwa tu kwa...
  3. M

    Kwanini makanisa ya ndani ambayo mengi ni ya kilokole hayana msaada kwenye jamii zaidi ya kunufaisha wanafamilia ?

    Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k...
  4. S

    NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  5. ni muda muafaka nami jamii forum kunitunuku u platnum member.....

    leo nimeshuhudia kwa macho yangu mtibeli amepata u platnum member..nami nimesaidia wengi kwa michango yangu iliyo wazi...natanguliza shukrani.
  6. K

    Nguvu ya Sanaa na Mdidimizo wa Maadili ya Uongozi katika Jamii ya Sasa

    ANDIKO LA FANANI WA HBC (THE NIGHT WATCHER) KIONGOZI VS MSANII Ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa NGUVU ya MSANII kwa kutumia SANAA YAKE ni KUBWA kuliko NGUVU ya KIONGOZI anapotumia SIASA ZAKE na pia SAUTI ya MSANII haina TOFAUTI na NGURIMO Za RaDi anapoiisemea JAMII YAKE. Tuna mifano MINGI ya...
  7. Kauli chafu zilizokuwa normalized Jamii Forums ambazo ni adui mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania

    Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia Mfano, ukileta tatizo linalokumba jamii za Watanzania utakuta mtu anacomment "Waafrika ni nyani waliochangamka" Kuna siku...
  8. Ongezeko la wachungaji, manabii, na waganga kwenye mitandao ya kijamii yanaleta afya kwa jamii?

    Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
  9. Vijana: Tujikite Kwenye Uchumi na Jamii

    Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda mwingi kwenye siasa na harakati za hovyo.
  10. wangapi wamepitia hii

    Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa . Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka ashikiliwe huku na huku ndo aoge huku akisuguliwa kwa nguvu.
  11. Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

    Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories... La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana . Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri...
  12. Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA

    Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA
  13. Viongozi wa Siasa,Dini & Jamii mbali mbali jichunguzeni.

    Heshima sana wanajamvi. Kufuatia msiba wa Mume wa Mh Rais wa JMT tumeshudia viongozi wa Dini,Wanasiasa,Wasanii na Viongozi tofauti tofauti wakimimika kuelekea Zanzibar kutoa salamu za pole kwa Mh Rais. Hakika jambo hili ni jambo la kiungwana sana na ndio utamaduni wetu Watanzania. Binafsi...
  14. Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani: Wadau Wahimiza Jamii Kubadili Mtazamo na Kuvunja Ukimya

    Kila mwaka ifikapo Septemba 10, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani, siku maalum iliyoasisiwa mwaka 2003 na Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua (IASP) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO). Lengo kuu la siku hii ni kuongeza uelewa wa umma kuhusu afya ya akili...
  15. M

    Ombi kwa uongozi wa Jamii forums. Wekeni utaratibu mtu ukimuignore asiweze kuona nyuzi zako au comment zako

    Mijitu mipumbavu ambayo inatumia makalio kufikiri . Mijitu inayodandia mada hata kama hizo mada haziwahusu. Inatakiwa ukiiblock isiweze kuona nyuzi au comment zako.
  16. M

    Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama Alazwe mahala...
  17. Sheikh Ponda: Jamii ya sasa inataka Tanganyika iwepo.

    Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania leo Septemba 07, 2026, Sheikh Issa Ponda amesema suala la muungano linahitaji kufanyiwa maridhiano. "Kwa hivyo, jamii ya sasa, ndio hata tunapozungumzia G55, wao wanataka angalau hata hiyo nadharia iliyoelezwa ionekane...
  18. Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

    Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...! 1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂 2. Kupika dagaa wana vichwa.. 3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa...
  19. JF sio mtandao wa vilaza, kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?

    Jf sio mtandao wa vilaza ,kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ? Jf sio mtandao wa kulea maskini wa akili na kipato ,ndio maana jf ili uwe platinum lazima ulipie pesa🤣 Nalewa nipo bia ya 13.
  20. CHAMA CHA WAZEE KISIWE CHA HARAKATI, NI HAZINA YA HEKIMA NA MSHIKAMANO KATIKA JAMII - PROF. SHEMDOE

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati, bali kutumia nafasi yake katika kutoa ushauri, kupatanisha jamii, kulea watoto na vijana, pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…