jamii

  1. Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

    Mimi naanza kwa kutaja Wanawake wasiopenda hela Endelea nawewe kutaja
  2. Mada zilizopo JamiiForums zinaonesha kama taifa vitu tunavyopenda au ni umri tu?

    Wakuu habari za Jumatatu? Leo nimeamka zangu asubuhi nikiwa nasema kama na TT wa kwenye treni wakinizingua kama wiki ile iliyopita Ati kwamba chenji hakuna niende nikalipie getini nitampa njia sahihi ya kufanya kazi yake. Hii kitu inaniudhi sana sijui ndio kweli sarafu hazipo kwenye mzunguko...
  3. Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  4. Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

    90% ya wakazi WA mkoa WA pwani ni kutoka mikoa mingine sadly ni jamii ya kizaramu inapotea kabsa.
  5. Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
  6. Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  7. Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

    Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele. Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
  8. George Mwakalinga: Wazee na Wazazi wasaidie kuwahamasisha Watoto wao kushiriki shughuli za maendeleo kwa Jamii

    Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Kyela FM iliyopo Mkoani Mbeya, George Mwakalinga ameuomba Umoja wa Wazawa wa Kyela waishio ndani na nje ya Kyela kuwatafuta wazawa wengine ambao bado hawajajiunga ili kuweka umoja wenye nguvu na mshikamano kwa ajili ya kuijenga wilaya yao. Mwakalinga ametoa rai...
  9. Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

    Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa. Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023 Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂 Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie" Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi? NB...
  10. Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

    Habarin Wana-JF, Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha biashara ya kupaki na kusambaza dengu ila nataka niwe na nembo yang maalum so nimeshindwa namna ya...
  11. Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

    Habari zenu 🖐 Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma. Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha...
  12. Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

    Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania. Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na...
  13. Kuna jambo gani la maana umelibeba toka hapa Jamii Forums kwa 2023?

    Pamoja na JF kuwa platform ya kutuondolea stress ila pia imekuwa na mambo mengi ya kutujenga kwenye maisha yetu.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya 2023 kuisha, Binafsi nimejibebea mambo yafuatayo kwa mwaka huu 2023 toka hapa JF; 1. JF ndo sehemu pekee kwa sasa ninapoweza kupata ushauri mzuri...
  14. Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

    Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye picha
  15. Simba Queens mabingwa wa Ngao ya Jamii

    SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023 Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa njia ya penati 5-4 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika muda wa kawaida. Baada ya mchezo huo wa...
  16. Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu. "Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu" Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa. Vile wafikiriavyo viongozi wetu...
  17. Ujanja ndio Akili

    Ngoja nikwambie kitu. Hii dunia huwa ina siri kubwa sana, na kamwe usimwamini mtu hata kama anakuongozaga ibada sehemu ya kusali. Hii dunia ina watu wajinga na wajanja, wajinga ni asilimia tisini na wajanja ni asilimia kumi. Kwenye hao kumi pia wametofautiana. Asilimia saba ni wale ambao...
  18. FT | Ngao ya Jamii | Simba Queens 5-4 Yanga Princess | Azam Complex

    Kikosi cha Simba Queens Kikosi cha Yanga Princess Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa...
  19. L

    Rais Samia amesema tuwe na jamii yenye ujasiri wa kuhoji

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara. Ambapo...
  20. Ukitaka Kuiharibu Jamii Yoyote, Shambulia Maeneo Haya 3

    Kama jamii imetulizana ina maadili , usitumie mizinga ya atomic au masafa marefu . Shambulia maeneo 3 tu ambayo ni Ndoa na familia, Kioo cha jamii na Mfumo wa kielimu.Kwa leo tuone eneo moja. 1. Ndoa na Familia Ukitaka mtotoo aje awe katili au jambazi , mlelee bila wazazi wawili (alelewe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…