jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. Keynez

    Jamhuri imemshtaki na kumfunga ila watu wanaounda hiyo Jamhuri hawajafurahi kufungwa kwake. Nani anatumia jina la Jamhuri vibaya?

    Serikali chini ya DPP imetumia jina la Jamhuri, imetumia rasilimali nyingi kumshtaki Tundu Lissu. Cha kushangaza hukumu imetoka ila kila mtu, kuanzia vyama vya upinzani, wanaharakati, wanasheria, wananchi wa kawaida, viongozi wa dini na hata makada wa CCM wanatoka kudai kuwa wamesikitika kuona...
  2. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  3. Lamomy

    Ikitokea leo kipenzi chetu Tundu Lissu akishinda kesi yake dhidi ya Jamhuri, kipi utafanya ili kuonyesha furaha yako?

    Je, utachinja jogoo lako pendwa? Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu? Je, utaishukuru mahakama kutenda haki? Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!! Je, utaserebuka kwa muziki? Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
  4. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  5. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  6. R

    Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️ Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men UPDATE: Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa...
  7. H

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  8. H

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 🕰️ 4:00 Asubuhi. 📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  9. Mtu mbalimbali

    Rasimu ya Katiba Mpya: Mapendekezo ya Watanzania

    Good day Great thinkers! Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania. Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri...
  10. B

    Peter Madeleka aishinda Jamhuri kesi ya Pre Bargain

    N.B Moderator Jamiiforums title isomeke PLEA BARGAIN BADALA YA PRE BARGAIN 08 October 2026 Mahakama ya Rufani Arusha Tanzania KESI YA PLEA BARGAIN YA PETER Madeleka ILIKOSEWA, MAHAKAMA YA RUFANI YATOA HUKUMU YA KIHISTORIA Peter Michael Madeleka dhidi ya Jamhuri (Rufaa za Jinai...
  11. Troll JF

    Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shuauri la Madai kati ya Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
  12. mrxtz2026

    UCHAMBUZI NA TATHMINI: FINAL SUBMISSIONS ZA TUNDU LISSU NA JAMHURI KATIKA KESI YA UHAINI | Treason case no. 19605 / 2025

    Uzi huu unaendelea na uchambuzi wa Final Submission katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Antipas Lissu. Katika sehemu ya kwanza, nilichambua hoja zilizotolewa na Tundu Lissu katika utetezi wake mwenyewe. [ Gusa maandiahi haya kwa kusoma Bandiko hilo ] Sasa, baada ya upande wa Jamhuri...
  13. The Palm Beach

    Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  14. Manyanza

    Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kutoka mahakama kuu ya Tanzania, masjala ndogo jijini Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Jamhuri inaendelea. Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani Kaa tayari kwa updates ===== Leo September 28, 2026 Last time tuliishia 467 Sehemu ya...
  15. Manyanza

    Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Iwapendeze ndugu Wana jukwaa la JamiiForums naitwa Manyanza, nipo tayari kuwaletea update za mahakamani. Kaa tayari kwa Updates ------------- MAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANAFANYAMAJUMUISHO YA MWISHO. SEHEMU YA 1, TAREHE 25.9.2026. Lissu ameshaingia Mahakamani, na Majaji nao wameingia...
  16. M

    Wakili Katuga, Jamhuri haikukutuma ukafanye udaku mahakamani

    Sisi tulitegemea ungefanya kazi ya maana ya kwenda kuisaidia mahakama kutenda haki lakini tunachokiona, wewe unaenda kuleta udaku, kuzungumza vitu visivyohusiana na mashitaka. Kiufupi unapoteza muda wa majaji na unakuonyesha kuwa inabidi labda urudi shule kuongeza ujuzi wa sheria. Sasa Passport...
  17. Manyanza

    Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani Kaa tayari kwa updates ======== Leo September 16, 2026 Last time tuliishia sehemu ya 428 Sehemu ya 429 Mahakama imeanza. Imepigwa high coooooourt Majaji wameingia. Mhe. Lissu nae ameingia kama kawaida makofi mengi yanapigwa mengi kwa...
  18. Zack Abdul

    UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  19. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  20. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
Back
Top Bottom