israel

  1. JamiiForums Tanzania Trump: Israel imeshindwa "kazi" dhidi ya Hezbollah, Syria watafanya vizuri zaidi

    Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa. Amesema hakuna haja ya kulipua ghorofa zima kisa tu unamsaka Hezollah mmoja. Na amesema sio walebanon wote ni Hezbollah hivyo wanauwa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

    Niaje waungwana Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea. Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
  3. JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kufanya Mashambulizi Gaza na Lebanon, Iran Wanywea

    Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa. Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU...
  4. JamiiForums Tanzania Lapid: Makubaliano ya Iran na Marekani ni pigo kubwa kwa diplomasia ya Israel

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kobaz wamechukizwa na rais wa somaliland kuitembelea Israel?

    Israel ndio imekuwa nchi pekee mashariki ya kati kuitambua Somaliland. Ila waarabu wamepinga wanataka wawe chini ya alshabab wa somalia. Israel inathamini amani, waarabu wwngi wanathamini extremism
  6. JamiiForums Tanzania Iran yawataka raia wa Israel kukaa mbali na kambi za jeshi kwa ajili ya usalama wao. Yasema shambulio la Israel nchini Lebanon haliwez kuachwa ivi ivi

    Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
  7. JamiiForums Tanzania Sherehe na maandano makubwa ya Mashoga Duniani yamefanyika Tel Aviv Israel baada ya kusimama kwa miaka miwili

    Moja kwa moja. Hatimaye jana Tarehe 12 /6 /2026 lile parade kubwa na maarufu zaidi la Mashoga Duniani "Pride Parade" limefanyika Tel Aviv , baada ya October 7 kutokana na tishio la kiusalama tamasha Hilo kubwa la LGBTQ halikufanyika limekuja tena kufanyika mwaka huu na inakadiwa watu takribani...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Maofisa Wake Wawili Kuuawa na Mashambulizi ya Israel

    Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon. Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu asijibu mashambulizi ili mazungumzo ya kumaliza vita yasiharibike. Lakini Israel iliishambulia Iran...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Alihutubia taifa **Tuko Imara kuliko Jana**

    Raia wa Israeli, Mwaka mmoja uliopita, tulizindua shambulio la kihistoria dhidi ya nia ya Iran ya kutuangamiza kwa mabomu ya atomiki. Tuliondoa tishio hilo la haraka, na pia tulimwangamiza mtawala wa kinabavu Gaidi Ayatollah Ali Khamenei. Kama tusingechukua hatua kwa wakati na kwa nguvu...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa tamko rasmi 'Hatupangiwi na mtu"-Katz

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz: Hali hiyo inatumika kwa kitongoji cha Dahieh huko Beirut kama ilivyo kwa miji ya kaskazini [nchini Israeli]. Shambulio lolote dhidi ya miji ya kaskazini litasababisha shambulio huko Dahieh. IDF itaendelea kufanya kazi nchini Lebanon dhidi ya shirika la...
  11. JamiiForums Tanzania Pamoja na Tishio la Iran kwa Israel isiipige Hezboullah magaidi hao wanapigika tu!!

    Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!! Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kundi la Hezbollah ladaiwa kuanza mashambulizi dhidi ya kambi za jeshi la Israel baada ya Iran kusitisha mapigano

    Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya Israel, hatua iliyoongeza hofu ya kuendelea kwa mvutano katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Barua yenye hisia kubwa iliyoandikwa kwa mkono na binti wa Lebanon na kuachwa kwa wanajeshi wa Israel kusini mwa Lebanon

    "We are Christians. We love you and thank you for emptying Lebanon of Hezbollah. Please take care of our homes, because no one is helping us restore them." This letter is a reminder that many ordinary Lebanese, including Christians, have suffered under Hezbollah's grip and dream of a different...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Houth waingia vitani rasmi na Israel

    Msemaji wa Houthi wa Yemen, Yahya Saree: Tunatangaza marufuku kamili na kamili ya urambazaji wa baharini wa Israeli katika Bahari Nyekundu, na tunaona harakati zote za adui kuwa malengo halali ya kijeshi kwa Vikosi vyetu vya Jeshi kuanzia wakati taarifa hii tutaanza kuishambulia israel.
  15. JamiiForums Tanzania Iran just launched ballistic missiles directly at Israel

    FOR THE FIRST TIME IN TWO MONTHS. ISRAEL STRUCK BACK INSIDE IRAN WITHIN HOURS. AND AN IRANIAN OFFICIAL JUST SAID THE PEACE DEAL IS "NO LONGER FEASIBLE." --- Here is exactly what happened today: Israel struck a Hezbollah command center in the Dahieh area of Beirut this morning in response to...
  16. JamiiForums Tanzania Israel imeanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran muda huu

    Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
  17. JamiiForums Tanzania Israel Wameshambulia Beirut Lebanon, Iran walisema Beirut Ikipigwa Watajibu

    Masaa machache yaliyopita Israel imefanya mashambulizi ya nguvu Beirut Lebanon Iran walisema kuwa endapo Israel watashambulia Beirut basi wao Watajibu kwa kushambulia ndani ya Israel. Iran sasa tunasubiri wajibu maana walibweka sana. Israel Kila siku wanashambulia kusini mwa Lebanon...
  18. JamiiForums Tanzania Gari moja dogo lakamatwa like Jaribu kuingia a waarabu ki age do nchini Israel kutokea West-Bank!!

    Vikosi vya usalama vya Israeli vilizuia magari yaliyokuwa yamewabeba Waarabu wakijaribu kuingia kinyume cha sheria kutoka Ukingo wa Magharibi kuingia Israeli katika Msalaba wa Maccabim jana. Dereva huyo, kijana kutoka Hebron, alijaribu kujifanya Myahudi kwa kuvaa kippah (Angalia video) na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Israel wamfanyia upasuaji mtoto huku akiwa bado tumboni kwa mama yake

    🇮🇱 BREAKING: MADAKTARI WA ISRAEL WAMFANYIA UPASUAJI MTOTO HUKU AKIWA BADO TUMBONI KWA MAMA YAKE. Akiwa na ujauzito wa wiki 25 tu, uchunguzi wa kawaida ulibaini kuwa uvimbe adimu ulikuwa umetokea kwenye kondo la nyuma - na tayari ulikuwa unasababisha moyo wa mtoto ambaye hajazaliwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu anusurika baada ya shambulio la drone ya magaidi wa Hezbollah wakati wa ziara yake kaskazini ‘ya Israel

    NETANYAHU ANUSURIKA BAADA YA SHAMBULIO LA DRONE YA MAGAIDI WA HEZBOLLAH WAKATI WA ZIARA YAKE KASKAZINI ‘YA ISRAEL. Waziri Mkuu wa 'Israel' Benjamin Netanyahu amenusurika dhidi ya shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah wakati alipotembelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…