irani

  1. Irani imekomaa hadi kuiangusha Republican!

    Siasa sio mchezo wa kitoto.TRUMP amepambana sana kujikwamua kwenye mtego wa Netanyahu japo imeshindikana.
  2. Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

    Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja ...
  3. Marekani kutumia trilioni 98.9 Tzs katika vita dhidi ya Irani hadi mwezi Septemba 26

    Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani. Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu. Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! ==...
  4. Vita ya Iran na Marekani, kwasasa Israel kajitenga, je ni sababu hatusikii tena vifo vya viongozi wa Irani na mashambulizi kwenye maeneo nyeti

    Kuna uwezekano Israel ikimuachia US apambane mwenyewe vita itakuwa kama ya Russia na Ukraine, haiishi ni milipuko tu ya kujibizana. Tofauti na Kama Israel ikiingilia kati. Huenda ndiyo sababu pia Irani hawaishambulii Israel, wanaishia Bahrain, Saudi nk.
  5. Kiongozi Mkuu wa Irani Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya baba yake

    Wanaukumbi. 🚨 KUTOKEA KWA MMOJA KUNATAWALA VICHWA VYA HABARI. 🇮🇷 Kiongozi Mkuu wa Irani Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya baba yake. Uamuzi huo umezua maswali mara moja, huku umakini ukielekezwa kwenye umuhimu wa moja ya kutokuwepo kwa watu waliofuatiliwa kwa karibu zaidi kwenye...
  6. Kiongozi wa Iran aibua shangwe zito wakati wa utambulisho Bungeni. Je inashiria nini hii kwa nchi yetu

    Jamat, Naibu Mkuu wa Ujumbe wa Kidiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alitambulishwa bungeni baada ya kukamilika kwa uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2026/2027, ambapo wabunge walipiga shangwe kubwa Hii inashiria nini zaidi kwa wabunge na nchi kiujumla
  7. Helikopta ya Kijeshi ya Marekani yatunguliwa na Jeshi la Irani

    Helikopta ya Kijeshi ya Marekani, maarufu kama Apache Helicopter, iliyokuwa inaranda maeneo ya mlango bahari wa Hormuz, imetunguliwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran mapema tarehe 08/06/2026 Rais Donald Trump amedhibitisha kutunguliwa kwa helikopta hiyo na Marekani imesema...
  8. Papa leo kuhusu vita ya Irani

    KATIKA NDEGE KUTOKA ROMA KWENDA MADRID JANA, MWANDISHI MMOJA ALIMUULIZA PAPA KUHUSU VITA VYA IRAN. JIBU LAKE: "Hakuna vita vya haki." Papa Leo XIV alikuwa akisafiri kwenda Hispania kwa ziara ya siku sita. Waandishi wa habari waliokuwa ndani ya ndege ya kipapa walimuuliza kuhusu vita vya Iran...
  9. Irani inavyoleta mizwengwe kwenye Mazungumzo ya Amani na Marekani!!

    KWANZA, Iran inajua haiwezi kushinda vita hivi kwenye uwanja wa vita. Inaweza kushinda tu kwenye meza ya mazungumzo. Na kwa namna fulani, ndivyo hasa inavyoendelea. Kwa wiki kadhaa, mistari nyekundu iliwekwa. Tarehe za mwisho ziliwekwa. Maonyo ya mwisho yalitolewa. Kisha Iran ilifanya kile...
  10. Trump: Tuliwapa silaha Wakurdi wazigawe Kwa waandamanaji wa Irani ila hawakuzigawa

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya Al Jazeera Aprili 6, 2026, Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani ilijaribu kuwapelekea silaha kwa siri waandamanaji wa Iran kupitia wasuluhishi wa Kikurdi, zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya vita vya sasa kuanza, hata wakati huo ambao...
  11. Marekani inaumizwa kichwa na Irani, kamwe haiwezi kujipalia makaa kwa namna yoyote ile dhidi ya Tanzania

    Licha ya hivyo, Porojo, uzushi na upotoshaji wa seneta Ted Cruz kwa maseneta wenzake, kamwe hauwezi kumshawishi Rais wa Marekani D.Trump, ambae kiukweli nae yuko confused, kuchukua hatua yoyote itakayo athiri uhusiano wa kidiplomasia wa kihistoria, wa muda mrefu sana kati ya Tanzania na...
  12. Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani

    Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi...
  13. M

    Yaani Marekani anachezewa hivi na Irani? Kweli hakuna marefu yasio na mwisho

    Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump. Anataka haki kamili na sio vitisho. Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal. Marekani anataka Iran na silaha yoyote huku yeye na Isreal wao wamiliki silaha. Iran asiwe na mshirika lkn wao katka...
  14. Viongozi wa ngazi ya juu ya irani wageukana

    Irani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa kuwa anaona serikali yake imeanza kukosa nguvu. Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi...
  15. Netanyahu asema Israel ipo tayari kwa vita muda wowote dhidi ya Iran

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi watakaposambaratishwa. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa tangazo la kusitishwa vita vya Israel...
  16. Tetesi: Mji Mkuu wa Irani Umeshambuliwa vibaya sana na vikosi vya US na Israel

    Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo. Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa. Kitengo cha BBC Verify kimechambua video tatu zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo...
  17. A

    Trump kuhusu Uranium ya Iran: "Sijali kwa sababu imezikwa chini ya ardhi na wakijaribu kuyahamisha tutawashambulia"

    Rais Trump ametamka wazi kwamba kwa sasa "hajali" kuhusu akiba ya madini ya Uraniam (HEU) yenye uzito wa kilo 440 inayomilikiwa na Iran. Sababu yake? Anasema madini hayo yamefukiwa chini sana ardhini kiasi kwamba Marekani inaweza kuyafuatilia kwa urahisi kupitia satelaiti zake. Akizungumza na...
  18. Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

    huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...
  19. Irani Imepigana na Marekani na Israel Kuanzia Ramadhani Mosi hadi Kukamilika kwa Mfungo Marekani Inajitoa Taratibu

    https://youtu.be/6n-00-MSepU?si=5h-ekwpDBWc8kBqS
  20. Kitendo cha Irani kusema wanataka Mazungumzo kimeniudhi sana hawa Israel na Usa ni wetu kabisa hawa

    Hawa Makafir tumeshawaweza tunataka mazungumzo ya nini nao? Tuendelee tu kupambana nao Irani inaenda kuwa Taifa kubwa Duniani. Marekani na Israel kwisha habari yao. Wameishiwa mabomu. Wao walikuwa wanalipua michoro na matoy tu. Lakini silaha zenyewe sisi tunazo hatujatumia hata asilimia 1. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…