Boti tatu zenye silaha zinazoaminika kuwa za Jeshi la Iran zimejaribu leo kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza katika eneo la Ghuba bila mafanikio
Shirika la Utangazaji la CNN limeripoti likiwanukuu maafisa wawili wa Marekani wakisema kuwa meli hiyo ya Uingereza ilikuwa ikiingia katika mlango...