iran

  1. JamiiForums Tanzania Iran kuacha kutumia GPS na teknolojia nyingine hatarishi zinazomilikiwa na Marekani na Israel

    Katika tathmini ya vita vya siku 12 kati yake dhidi ya Israel na Marekani,Iran imeamua kuachana na matumizi ya teknolojia ya GPS nyengine kadhaa ambazo imegundua zilichangia kuuliwa kwa makamanda wake wa kijeshi na wataalamu wa nyuklia. Badala yake Iran imeamua kugeukia teknolojia aina hiyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Medvedev amjibu Trump: Russia sio Israel wala Iran (haiwezi kuamrishwa kusitisha vita yake)

    Trump's playing the ultimatum game with Russia: 50 days or 10… He should remember 2 things: 1. Russia isn't Israel or even Iran. 2. Each new ultimatum is a threat and a step towards war. Not between Russia and Ukraine, but with his own country. Don't go down the Sleepy Joe road! — Dmitry...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Iran wapigwa marufuku kutumia simu za mkononi mobile phone ndani ya maeneo ya Bunge chanzo ni sababu za kiusalama!

    Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf ameunga mkono uamuzi wa kupiga marufuku matumizi ya simu za mkononi kwa wabunge, akieleza kuwa suala hilo linahusiana na masuala ya kiusalama. "Waheshimiwa wabunge, suala la matumizi ya simu ndani ya ukumbi wa Bunge limejadiliwa na sekretarieti ya Bunge...
  4. JamiiForums Tanzania OPEC: Mapato ya mauzo ya mafuta ya Iran yaongezeka kwa 14%

    Iran imefanikiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa mapato yake ya mauzo ya mafuta mwaka uliopita. Hayo ni kwa mujibu wa takwimu mpya kutoka Shirika la Nchi Wazalishaji wa Mafuta Duniani (OPEC), zikionesha kuwa vikwazo vya Marekani havijafaulu kuzuia biashara ya mafuta nchini. Ripoti ya Jumamosi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Missile Mpya Ya Iran Harmshaher 5

    Habari ya mjini ndio hio hio Missile inaitwa Harmshaher 5 inafika California bila wasi wasi wowote kwa hio USA asilete ujinga tena. Hio Missile Ina range ya 12,000 KM ni Intercontinental Missile. Warhead yake ni 2 ton na yenye speed of Mach 16 times faster than the speed of sound hakuna air...
  6. JamiiForums Tanzania Timu ya IAEA itazuru Iran lakini haitafika katika vituo vya nyuklia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa kutembelea vituo vya nyuklia vya Iran. Bw. Gharibabadi, ambaye yuko New York, alisema kuwa Iran...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

    We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns 1 hour ago Updated 8:53 AM Share A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025) A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
  8. JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran. Asema ni kweli walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Wanajipanga upya

    Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
  9. JamiiForums Tanzania Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran akiri vinu vyao viriharibiwa vibaya. Ila anasema watarudi tena kurutubisha

    Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya kirutubisha Nyuklia. Waziri akiri viliharibiwa vibaya. Na anasema hawajakoma. Watarudi tena kuanza...
  10. JamiiForums Tanzania Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

    Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration). Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran: Kulikuwa na mapungufu ya Kiusalama wakati wa vita na Israel

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel. Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini Tehran hivi leo. Ukosoaji binafsi wa aina hii ni nadra sana nchini Iran. Wakati wa vita va siku 12...
  12. JamiiForums Tanzania Milipuko ilitokea Kwenye Miji Mitano Ya Iran: Tehran, Karaj, Qom,Mashhad,Tabriz

    Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye jengo la makazi pembezoni mwa mji wa Qom, Iran, kwa mujibu wa vyombo kadhaa vya habari vya Iran. Angalau magari matano ya dharura yalipelekwa katika eneo la tukio baada ya mlipuko wa Jumatatu katika makazi ya Nasim Pardisan...
  13. JamiiForums Tanzania Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  14. JamiiForums Tanzania F-15 Fighter Jet ya IDF almanusura kudakwa na Iran

    Ripoti ya Channel 12, kwa mara ya kwanza imefichua hadharani kuwa, ndege ya kivita ya Israel F-15 ilikaribia kutua katika ardhi ya Iran wakati wa vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran. Ndege hiyo ilipata hitilafu ya mfumo wa tanki la mafuta wakati ikifanya kazi ndani ya anga ya Iran. Rubani...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++ Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Iran wanaamini kuwa Israel ilitumia majini kwenye vita vya juzi, haiwaingii akilini kuwa walipigwa kizembe

    Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje Mungu wa Israel aliwezesha vyote hivyo. Kuna viongozi wameanza kusema yote hiyo ilifanyika kwa nguvu...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yabadilisha Msimamo, Yasema Haijasimamisha Uhusiano na IAEA.

    Baada ya vituo vyake vya kurutubisha nuclear energy kupigwa, mamia ya askari, wanasayansi na wananchi wake kuuawa, Bunge la Iran lilipitisha azimio la kuvunja uhusiano na IAEA, taasisi ya umoja wa mataifa inayofuatilia masuala ya nuclear energy. Ilitangazwa kuwa Rais wa nchi hiyo. aliridhia...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  19. JamiiForums Tanzania The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12. Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga...
  20. JamiiForums Tanzania Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

    Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…