ingekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kama ingekuwa inawezekana kuzaliwa upya, ungependa uzaliwe nchi gani?

    Swali liko wazi. Kuna msemo wa kipumbavu kuwa heri kuzaliwa paka Ulaya kuliko binadamu Afrika. Sijui kama bado una mashiko hasa pale ambapo Afrika inaanza kuikimbiza ulaya japo bado kuna baadhi ya wenzetu wanaikimbia. Je ungekuwa unazaliwa upya, ungependa au kutamani uzaliwe nchi gani na kwanini?
  2. Yoda

    Wakatoliki na Walutheri wanaweza kusababisha Lissu kuachiwa

    Waumini Wakatoliki na Walutheri wakigoma kwenda kanisani mwezi mmoja tu mfululizo viongozi Wakatoliki na Walutheri serikalini watasababisha Lissu aachiwe, Dini bado ina nguvu na ushawishi mkubwa sana kwa wanasiasa wa Tanzania na inaweza kutumika kama nyenzo ya mabadiliko raia wakijua kutumia vizuri
  3. L

    Ingekuwa ni jambo la kusikitisha, kufedhehesha na kukatisha tamaa sana kama Lissu angeachiwa huru

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Kilicho sababishwa na kuchochewa na Lissu Ingekuwa ni Jambo la Aibu Fedheha na jambo la kukatisha Tamaa ikiwa Lissu Angekutwa Bila Hatia na kuachiwa Huru Kuingia Mitaani . Haiwezekani Maneno yooote yale ya Uchochezi aliyokuwa anayatoa halafu eti Mwisho wa siku...
  4. Ngurukia

    Nini ingekuwa hatma ya mtengeneza video kama hii kwa mtawala wa Kibongo bongo?

    Angeokotowa Mwebwepande huko.
  5. M

    Je, kama Afrika Kusini ingekuwa nchi ya kiislamu?

    JE, KAMA AFRIKA KUSINI INGEKUWA NCHI YA KIISLAMU? Hebu fikiria hali ya Afrika Kusini ya sasa, lakini badala ya kuwa Afrika Kusini, iwe ni Tunisia, Morocco au Algeria. Kwa sasa, baadhi ya raia wa Afrika Kusini wanawashambulia na kuwachukia wageni. Je, dunia ingeendelea kuzungumzia haki za...
  6. D

    Ingekuwa wewe ni mwalimu hii kesi ungeitatuaje?

    Wakuu, hebu tuwekane sawa kidogo. Nimeona video moja mtandaoni huko facebook naamini ilikuwa ya mwishoni mwa mwezi wa nane maana sijatumia facebook muda mrefu kidogo.mtoto mdogo wa kama miaka saba analia sana kwa sababu amefaulu vizuri darasani lakini hajapewa zawadi kama wanafunzi wenzake...
  7. MamaSamia2025

    Hili gari lingekuwa binadamu ingekuwa ngumu sana kulitetea kama ilivyo kwa single mothers.

    Gari ambalo linazidi kupoteza kuaminika.
  8. Diaspora Messenger

    Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  9. K

    Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  10. Gunner11

    Siri ya Utulivu na Mafanikio

    Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia. Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi. Kadri unavyo...
  11. L

    Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  12. Fbn

    Ingekuwa Tanzania mpaka na fiesta ingeanza .Jifunzeni hapa kwa Argentina

    Hii nchi tunaweka nuksi na bado tuna nuski kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Samia atosha tukutane2030
  13. Mtoto Teule

    Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!

    Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!
  14. Financial Analyst

    rita hongera kuifanya BSS kuwa east africa wise ila ingefaa ionekane DSTV maana inatazamwa Africa nzima, hapo azam ni watalaam wa etugru uswahilini

    Kura zingepigwa fairly na squarely kutoka kwa wana EA kila mahalai ila hii ya azam kura zitaishia kulimbikizwa kwa wabongo hata kama hawajui.
  15. Kipenzi Changu

    Ingekuwa kina Kayoko na Arajiga ile isingekuwa penati; wana kanuni zao

    Mkenya ameona penati halali kabisa, soote tumeona hivyo. Mkenya kaweka tuta bila kujali ni dakika ya ngapi Ila hawa marefu wetu wakubemba wangepeta hiyo, kwa sababu kanuni zake za kipuuzi zinamwambia huwezi kuweka penati kuanzia dakika ya 80
  16. V

    Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  17. PSEUDOPODIA

    Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

    Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao. Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka. Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha...
  18. mcTobby

    Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  19. Pdidy

    HAKI INGETENDEKA IMAGIME.LEO INGEKUWA (TANZANIA VS CAMEROON)

    DAH POLEN SANA CAMEROON POLEN TEAM CAMEROON MBAYA ZAIDI MECHI KAMA YA LEO SIKUWA NA HAMU KUANGALIA BAADA YA UHUNI ULIOTOKEA MECHI VS MOROCO LEO TUNGEKUWQ TUNAANGALIA CAMEROON VS TANZANIA KAMA SIO UHUNI WA AFCON REFARII POLEN ZANA WATZ NXZTTM MJIFUNZE AFCON KWENU MJIPANGE MAREFA WAWATETEEE
  20. Zee la madawa

    Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
Back
Top Bottom