inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Application Gani Inaweza Kukusaidia Kuangalia Salio Line Ikiwa Kwenye Modemu

    Kichwa hapo juu chaeleza, naomba anayefahamu app yenye uwezo wa kuangalia Salio line ikiwa kwenye modemu.
  2. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  3. H

    Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Salam.. Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria. Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua. Changamsheni kichwa kidogo.
  4. Je simu iliyofanya Factory reset inaweza kurudisha faili zake?

    Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
  5. Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  6. M

    Je, Serikali inaweza Kubinafsishwa? Kwanini Serikali yetu isibinafsishwe ili kuleta ufanisi kiutendaji?

    Kuna wimbi kubwa la kubinafisishwa kwa Taasisi za serikali na mashirika ya umma ili kuleta ufanisi katika taasisi hizo. Mfano wa hivi karibuni ni Bandari yetu ya Dar es Salaam. Hoja inayotolewa na wenye mamlaka ni kuongeza ufanisi wa bandari yetu ama kwa lugha rahisi ni kwamba serikali haiwez...
  7. Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

    Wakuu nimekutana na hii clip, Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki. Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako. --- Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
  8. Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

    Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa. Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali...
  9. Nimeambiwa kuna Goli 2 kwa 0 au 1 kwa 0 tu ila Draw ya 0 kwa 0 inaweza ikawepo

    Kila la Kheri mno Yanga SC na Kila la Kheri sana USM Alger FC leo.
  10. Katibu Mkuu ANC: Hali ya Uchumi ni mbaya, nchi inaweza kufeli

    Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi. Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
  11. Je, technology ya V.A.R inaweza kutumika kwenye udanganyifu?

    Nimefuatilia kwa karibu matumizi ya V.A.R katika mashindano ya CAF na kusema ukweli huwa sina imani na jinsi zinavyotumika hasa pale timu mojawapo ni ya Afrika Kaskazini. Kwa mfano najiulizaga kwa nini siyo kila replay ya V.A.R huwa inaonyeshwa? Nimeona matukio mengi ambayo mpira unasimama ili...
  12. Ethics/Moral philosophy inaweza kua suluhisho ya matatizo yako

    Wakuu, Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine. NB: mtu...
  13. Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

    Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
  14. Ushauri: Rais Samia inaweza kuwa ni maamuzi magumu lakini hapa tulipofikia hakuna budi

    Mheshimiwa Rais Nakuamkua kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tunajua kuna juhudi unafanya tena kubwa ili kuivusha Tanzania kutoka kwenye hali ya uchumi wa chini kuelekea uchumi wa juu. Lakini sisi wakosoaji wako, tuna lengo la kukussidia kuona nyufa zinazotengenezwa kwa makusudi na...
  15. Ni vipi akili bandia kama ChatGP inaweza kuathiri kazi miaka ijayo?

    'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini? Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
  16. Nasumbuliwa na maumivu ya mguu hasa maeneo ya paja, dawa gani ya kumeza inaweza kunisaidia

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu. Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo...
  17. Hoja ya umri inaweza kuwa kikwazo kwa kampeni ya Joe Biden?

    Msemo unasema, muda haumngoji mtu, na kwa Joe Biden mwenye umri wa miaka 80, hilo linaweza kuwa tatizo. Je, rais wa Marekani anaweza kuwashawishi wapiga kura kwamba umri wake si hoja? Bw Biden alitangaza Jumanne kwamba anataka kuhudumu kwa miaka mingine minne katika Ikulu ya White House...
  18. Ajira za TAMISEMI 21,200 Kila Halmashauri Inaweza Kupata Nafasi 115 kama Zikigawiwa kwa Usawa

    MHE. EZRA CHIWELESA - AJIRA 21,200 KILA HALMASHAURI INAWEZA KUPATA WATUMISHI WAPYA 115 KAMA ZIGAWIWE KWA USAWA Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa ameunga mkono hoja na kuchangia katika bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora. Mhe. Chiwelesa amesisitiza...
  19. Blog ya namna hii inaweza patikana kwa gharama rafiki?

    Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki) Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji huo muziki u play kwenye site. (ii)Play video, hapa nitahitaji visitor apelekwe kwenye You Tube...
  20. KWELI Déjà Vu inaweza kutengenezwa kwa njia za kitaalam

    Hivi ni kweli kuwa teknolojia ya electroneurone inaweza kupangiliwa kwa vifaa maalumu ili kumfanya mtu kuhisi amewahi kuwa sehemu hiyo kabla, na watu wale wale huku akizungumza maneno yaleyale? (Déjà vu)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…