inasikitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inasikitisha sana kuona Afande Sele anayaweka Maisha yake hatarini..

    Anaelewa kila kinachoendelea nchini. He wants to be a hero! Binafsi siko Tayari Baya limkute.. ila linaweza likamkuta lolote. Hilo tamasha la Bongo 30, limeandaliwa makusudikaly kufuta memories na chuki ambaxo watu walishajenga dhidi ya wasanii kutokana na kuwa upande wa CCM.. Sioni sababu...
  2. Hii meseji hii, inasikitisha sana

    Haya mambo yapo kwenye jamii zetu
  3. Hivi Nchi ikipata Hyper inflation there's no Comeback? Zimbabwe inasikitisha sana

    Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local currency yao haina thamani kabisa wanatumia USD kufanya malipo! Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa...
  4. Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  5. Inasikitisha sana. Ujenzi wa SGR Makutupora ni 14% wakati angelikuwepo hayati Magufuli Ujenzi wa SGR ungekuwa umefika Mwanza kwa 100%

    Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
  6. M

    Inasikitisha sana. Mzazi anahangaika kusomesha mtoto na pia anahangaika kumpeleka Sober house

    Nasema hiki ndio kizazi cha hovyo kabisa kutokea tangu kupata uhuru. Wazazazi wanapaswa kuwa na bajeti ya kusomesha na bajeti ya kupeleka mtoto sober house Inasikitisha sana.
  7. B

    Story ya mtoto Richard Kiko ( 15) inasikitisha mno

    Jana niliweka taarifa ya kupotea kwa mtoto Richard Riziki Kiko (15) mwanafunzi wa kidato cha pili, shule ya sekondari Mbwawa Lutheran iliyopo Kibaha. Richard alipotea juzi jumapili, akiwa anarudi nyumbani Magomeni Kagera akitoka kumsalimia bibi yake Mbezi Kibanda cha Mkaa. Jioni wakati anarudi...
  8. Chelsea inasikitisha sana ilitakiwa iwe ya 16 hafi jana

    kwa huu msimamo hii timu inapaswa iwe chini sana. kwenye wanasema number don't lie lkn hapa namba zinadanganya
  9. O

    State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

    "When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called...
  10. Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  11. Inasikitisha kwamba bado kuna waafrika wanaamini kuwa kuna supernatural forces tofauti kati yetu zinazoongoza maisha, ni aibu, MAISHA NI MAISHA!

    "Ooh ilikuwa iwe hivi" "Ilipaswa ie hivi" "Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima" "sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo" 🚮🚮🚮🚮🚮
  12. Hii stori imetaka kuniliza inasikitisha sana

    Kijana John Jay-Z, HUKO Instagram amesimulia, jambo zito, linalo ishi kwenye maisha yake Hadi Leo, baada ya kumaliza elimu yake kipindi hicho. Alijiingiza kwenye kazi ya saidia fundi, anasimulia ILIKUA tarehe 3/10/2021 asubuhi saa kumi na moja. Mama yake mzazi walie kuwa wanaishi NAE,j alikuja...
  13. K

    Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

    Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
  14. PostGE2025 Sheikh: Maaskofu kuwaaminisha watu yale yalikuwa ni maandamano inasikitisha. Au Baraza La Maaskofu linahusika?

    Wakuu, Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe. "Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA walisema wanaenda kukinukisha, wanaenda kufanya uasi wanaenda kuvuruga Uchaguzi. Maandamano yanatoka...
  15. K

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha. Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani! Kesho nani atakuwa salama
  16. Msikilize Mchungaji Mwanamapinduzi akiongea Katika Space ya MariaT huko mjini X INASIKITISHA.

    Masikilize
  17. B

    Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  18. Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  19. Hivi ni kweli hakuna wa kumshauri Samia? Hii inasikitisha

    Wasalaam. Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake? Hebu sikiliza kwa makini.
  20. Inasikitisha sana, ni kaka gani huyo anayemfuatilia Rose Ndauka wakimuhisi kuwa ni CHADEMA?

    Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu Mbaya zaidi siku nikifa utataka kuja mbele kuwa mstari wa mbele....Niache " Mfuatilie kwa uzuri hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…