Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Huyu mwamba anajua sana, anafaa kuongoza hii nchi ili apambane na mafisadi.
Mheshimiwa Professor Dr. Jenerali Murtaza Mangungu shikilia hapohapo.
Simba nguvu moja.
Wasalaam Wakuu
Kuna jambo ambalo linahitaji mjadala mpana kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Uamuzi wa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu unaacha maswali mengi ya msingi kuhusu tafsiri ya sheria, haki ya kusikilizwa na uhuru wa kujieleza katika nchi inayojitambulisha kama demokrasia...
Nimefuatilia mjadala wa kada mmoja wa chama Cha upinzani na kugundua kwamba anajaribu kujenga mazingira ya kuaminiwa na wananchi, ukaribu wake kwa viongozi wa CCM,nia ya kumtetea mwenyekiti wake na hofu ya wanaharakati kuingilia mambo ya chama chao.
Ukifuatilia vizuri ni kwamba ana hoja za...
Salaam,
Watawala wana yao moyoni.. Hawatosheki na wanachopata.
Wizi wa kura, kuenguliwa wagombea, Waggombea kunyimwa fomu za kuomba kuchaguliwa, wagombea kunyanyaswa na Polisi, Mauaji na Utekaji kwa Wagombea wenza wa vyama mbadala mfano CHADEMA
Matumizi ya Bunduki dhidi ya wagombea...
Nawasalimia wanabodi.
Inatia hasira,
Inakera,
Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.
Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.
Wengi wapo abroad...
Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ?
Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
DKT. MWIGULU: NJAA DUNIANI INAHITAJI SULUHISHO LA MUDA MREFU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mapambano dhidi ya njaa yanahitaji uwekezaji wa muda mrefu katika kilimo endelevu, maendeleo ya vijijini na mifumo imara ya chakula, sambamba na misaada ya dharura.
Amesema hayo Oktoba 22...
Tar 18.04.2015 Yanga ilikua Uwanja wa Taifa ikiiwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa kama kawaida yao,katika mechi hiyo Mbuyu Twite alikua akicheza no 6 baada ya Canavaro kuumia kipindi cha pili,aliingia no 6 nyingine Said Makapu ambapo ilimlazimu Mbuyu Twite kushuka chini kucheza no...
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau
Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi
Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano...
Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
..aliyemrithi aliwaadabisha tiss wa huko uchaguzi ukamleta huyu, sasa naye anafanya sehemu yake, tz imekalia maigizo ya tiss kupitia ccm nchi inazama mstaafu anakuwa na watu wake ndani ya serikali na wanamtii kuliko hata huyo aliyesaini hati za uteuzi wao..Masisi alikataa huo ujinga wa mstaafu...
Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi:
Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani.
Maandamano ni sehemu ya...
Habari za Sabato!
Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri.
Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu.
Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa.
wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea
Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia.
Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya...
Habari za wakati huu;
Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu.
Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana na serikali sana na hivyo kinaitwa chama dola.Katika siasa tunapozungumzia Chama Dola tunazungumzia...
Wada wa michezo na wapenzi wa mpira wa miguu kwa nchi yetu leo ndio tunaanza kuhesabu magoli na ponti kwenye timu zetu.
Leo dimba la Ligi kuu limeshafunguliwa kwa Pamba Jiji na Dodoma, Vipi timu yako unaona inahitaji nini ili muweze kubeba kombe la ligi kuu?
Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo.
Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.