Habari wanajamvi
Naomba kujuzwa kuhusu gari ya Mitsubishi RVR je inafaa kwa mwananchi wa kawaida kwa maana ya kuimudu, uimara mafundi wapo? Bei ya vifaa vyake na kadhalika.
Nasoma commenti
Habari wanajamvi
Naomba kujuzwa kuhusu gari ya Mitsubishi RVR je inafaa kwa mwananchi wa kawaida kwa maana ya kuimudu, uimara mafundi wapo? Bei ya vifaa vyake na kadhalika.
Nasoma commenti
Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni
Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho?
1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje?
2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3?
Naomba ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.