imekufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AXIOM APEX VERBOSE

    Airtel km Kampuni imekufa iuzeni tu

    Yangu ni hayo sina mengine ya kusema. Mtandao tangu juzi ni hovyo. Inasoma Emergency Calls Only. What is this?
  2. Hance Mtanashati

    CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza...
  3. Yoda

    Demokrasia imekufa, tupiganie zaidi utawala bora wa maendeleo

    Demokrasia ya kiliberali (Liberal democracy) imekufa duniani, imezikiwa na utawala wa Trump, Israel na matajiri mabilionea wa dunia. Tupiganie zaidi utawala unaowajibika kuleta maendeleo ya vitu na unaowajibika kwa raia bila kujali unapatikanaje. Ni bahati mbaya sana demokrasia imekufa kabla...
  4. Allen Kilewella

    CCM inatembea huku ikiwa imekufa

    Kwenye kiingereza kuna msemo maarufu wa "walking dead" ukimaanisha mtu anayetembea lakini anatenda matendo mafu. Msemo huo unaashiria kuwa Kuna watu huwa wanaishi lakini wenyewe hawana hisia ama hutenda kama vile mazingira yanayowazunguka hayawaathiri. CCM kama chama cha siasa, ni kama...
  5. S

    Operation freedom project ni moja wapo ya operation iliyowahi kufeli duniani mapema less than 48hrs imekufa..

    Hii ni moja ya operation iliyowahi kufeli chini ya masaa 48 Ilianzishwa na rais Trump na kuipublish kwenye mtandao wa jamii lakini kama kawaida yake chini ya masaa 48 kaacha ndala mwenyewe Hormuz.
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    Future ya computer science au ICT ni kama imekufa

    Kufika 2030 nadhani kutakua na uhitaji hafifu sana wa watu waliosoma computer science. Kwanini? Integration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma watu walimeza code, syntax Kwa ajili ya kutengeneza website au application, sasaivi simple website...
  7. Mr jemoo

    Mgahawa wangu mambo yalikuwa mazuri, ghafla imedoda, nifanye nini biashara irejee kwenye mstari?

    Jamani Wana JamiiForums nilitengeneza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu, chapati, ugali, na wali. Nikawa nauza vizuri tu siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilichobaki, yaani Saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivyohivyo. Ila siku zilivyoenda kama...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Maandamano ya MO29 yaliipandisha Tanzania kwenye Rank za juu ya kidunia. Na sasa Ile dhana ya watanzania ni mandondocha imekufa. Watanzania sasa

    Hamjambo! 1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu. 2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka tangu mababu zetu. Walikuwa wakiisubiri Siku Ile ambayo ingefuta aibu, manyanyaso, kejeli na uteja...
  9. M

    Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

    wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
  10. Kinjekitile Jr

    2030-2040 CCM itakuwa imekufa kabisa

    Kama CCM isipoweza kutafuta mbinu au njia mpya ya kutawala watu,uwenda miaka 10 mbele kusiwepo tena na chama cha Siasa kinacho itwa chama cha mapinduzi Zaidi ya 50% ya Watanzania ni vijana waliozaliwa Miaka ya 2000’s,yani kwenye sensa ya mwaka 2002 Watanzania walikuwa ni million 30 lakini leo...
  11. Jidu La Mabambasi

    Ni wazi sasa, bila serikali CCM imekufa!

    Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo. Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda. Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe...
  12. T

    Tunaomba tujue kama D9 ndo imekufa au bado ipo

    Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
  13. Q

    Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  14. Ritz

    GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

    Wanaukumbi. No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM. Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia. Rais Samia anachangiwa na kila...
  15. M

    Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  16. U

    Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  17. Lady Whistledown

    Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

    Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema Salaam, kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi . Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
  18. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Mbweni: 900 Sqm Prime Plot Ushuani, Bei Imekufa - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  19. I

    Mkiambiwa CHADEMA imekufa ndio huku sasa

    MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
  20. technically

    Je kwa Sasa Tanzania ni nchi iliyokufa?! A failed state?

    Nchi inadaiwa trion 99 Nchi inalipa Deni kwa bilion 700 kila mwezi Nchi kwa Sasa haina mradi wowote unao-endelea unaotoa ajira kwa watanzania angalau 10000 kwa pamoja!! Miradi ya TARURA yote imelala wakandarasi wameikimbia Imagine barabara ya 2km inajengwa Sasa ni mwaka mfano hii ya msongola...
Back
Top Bottom