imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

    Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula. https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==
  2. Q

    Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

    Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo. Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu. Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. Matayo...
  3. Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    SEPT 21, 2026: Tanzania Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu? Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
  4. M

    Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  5. Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  6. Kimedani: Mtawala au Rais hawezi kuwa na Imani na mtu mwenye ndoto ya kuwa Rais au mtawala kama Yeye.

    Hamjambo! Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta. Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni. Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
  7. K

    Ile imani yangu na uelewa wangu wa utotoni kuhusu "wanajeshi" na "Majaji(Hakimu)" sasa naweza kuuthibitisha

    Nikiwa mdogo kama walivyo watu wengi kuna mambo unakuwa huyaelewi elewi na kadiri unavyokuwa ndivyo unavyoendelea kupata ufahamu Nikiwa mdogo nadhani hadi umri wa kidato cha Pili (hapa sio mdogo tena hii ilikuwa imani) tungegombana endapo ungeniambia "nafaa" kuwa mwanajeshi au uniambie nikiwa...
  8. Watakuhukumu Kutokana Na Mitazamo Ya Misingi Ya Imani Zao

    Matendo 28 3 Paulo alipokuwa amekusanya mzigo wa kuni, na kuuweka motoni, nyoka akatoka kwa ajili ya ule moto akamzongazonga mkononi. 4 Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi...
  9. Wazazi wanafiki hawafundishi IMANI vijana wao

    Huu ni ukweli usio pingika kuwa wazazi wengi hawapati Muda wa kuwafundisha vijana wao swala la imani, kwamba elimu ya shule, na Nyumba ya ibada ndio sehemu pekee tumejifunza tunayo yajua. Na kibaya zaidi dini zote tulizonazo wabongo zinafundisha hasa, usifanye hichi ni dhambi fanya bidii kwenye...
  10. R

    Imani pofu (blind faith)

    https://youtu.be/MLxIyMnviyI?si=wDL9LaVjN_QjTG04
  11. Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  12. Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

    Maulid Mubaraq good people.
  13. Hili ni fumbo kubwa la imani, mpaka sasa Ikulu hawajaandika chochote kwenye website yao, hamna popote Rais amekubali barua aliyotumiwa.

    Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka. Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni. Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi. Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa. Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
  14. JAB yawataka waandishi wa habari kulinda imani ya umma

    Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
  15. Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  16. Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
  17. Ni kitu gani hasa kinachofanya ndoa idumu kwa muda mrefu? Je ni imani, upendo, uvumilivu, kuelewana, maandalizi ya akili, au kuna kitu kingine cha msi

    Ikumbukwe mimi si mwana ndoa ila natalajia kuingia huko, natamani pia kufahamu uelewa wenu. Kwa mtazamo wa uchambuzi, mambo yanayosaidia ndoa kudumu yanaweza kuwa: 1. Uelewa wa maana ya ndoa Watu wengi huingia kwenye ndoa wakifikiri ni mwisho wa safari ya furaha, lakini kwa kweli ni mwanzo...
  18. Ukihitaji kitu hapa duniani, unahitaji kuwa na pesa. Ukihitaji kitu chochote kutoka kwa M-ngu, unahitaji IMANI.

    Ghala la mbinguni limefurika hazina, utajiri wa kila aina na wew utaamua kiasi gani cha hazina kitakuwa chako kwa imani yako mwenyewe. Ikiwa una imani ya wokovu utaokolewa. Ikiwa una imani ya uponyaji utaponywa. Ikiwa unaimani ya ndoa bora, ndoa yako itakuwa bora, Ikiwa unaimani ya ufanisi...
  19. M

    Shabiki wa Man united: Red flags hizi za INEOS zifanya nisiwe na imani nao

    Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza zisirudi hivi karibuni. Baada ya kufanya tathmini juu ya uelekeo wa hii Man united chini ya INEOS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…