ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  2. C

    JamiiForums Tanzania "Ndiyo ninachagua ila sababu zangu za kuchagua zinachaguliwa"-UHURU WA KUCHAGUA NI UDANGANYIFU

    Ukiwa kweli una uhuru wa kuchagua, ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la Si tu kwamba ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la, bali ungeweza pia kuchagua sifa zinazokufafanua, kama vile utu (personality), ujuzi (skills), tabia (traits), na mambo ya nje kama vile familia, utajiri, n.k. Yote...
  3. JamiiForums Tanzania Nampenda Trump Ila anaboa Sana ni mwoga wa Vita salute kwa Benjamin Netanyahu

    Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve...
  4. JamiiForums Tanzania Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

    Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu. Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi. Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu...
  5. JamiiForums Tanzania Early 2027 to 2029, its either us, or you but not them- 2027 mpaka 2029 huenda ni sisi, au nyie ila sio wale

    Hii ni tofauti na iliopita, walioshinda kwa sasa hawana cha kupoteza, usisimame kama unatambua miguu haina stamina, na hauna uwezo wa kukinga ukiwa hewani. Uzuri wa sayansi ya kufikiria ilio na vitendo kisha kupelekea matokeo, inahitaji uharaka wa kujua mienendo, namna utakavyo himili tendo...
  6. JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa. Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi...
  7. JamiiForums Tanzania UAE na QATAR wanashirikisha wa-kuitwa makafir ili utajiri wao ukuwe ila wanamwaga pesa kwa walala hoi wabaki na dhana ya kumchukia kafir na kugombana

    Ukienda dubai utakutana matajiri wahindi wa kutosha (na bado wanaabudi miungu yao), utakutana na models wa kila aina ambao wanafanyika kama escorts wa wana wafalme wa qatar na UAE, sasa hivi wazungu wako lukuki huko saudia wanafanya projects za maendeleo Utakutana na wayahudi wamefanya...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  9. JamiiForums Tanzania Nimeondoka Kijijini kwetu (Wilayani) 2014 nimerudi 2026, ila vijana wapo vilevile hakuna Maendeleo

    Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao? Au nihame nikatafute mbali?
  10. JamiiForums Tanzania Nissan Bluebird na Altima ni kama wale Mademu waliokuaga Wabovu Kipindi Mpo Sekondari ila sahivi Hatari…

    Bluebird aka Sentra then (2000s): Bluebird now (2020s) Nissan Altima enzi izo (2000s): Altima ya sasa (2020s): Hii ni ukumbusho, usimchukulie mtu poa, hujui kesho yake!
  11. JamiiForums Tanzania Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

    Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

    Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi? Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa. Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa. Ila...
  13. JamiiForums Tanzania Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi hakikisheni ‘Vi-clip clip’ visirushwe, msimame kwenye mambo yenu

    Yeye kwake Kosa sio Jeshi la Polisi Kuchukua Rushwa .....ilo aaahhhhhh. Kosa ni 'Clip za Rushwa kuwekewa mitandaoni'. Yaan kwa Mfano, Umeoa, umefunga zako CCTV ndani, umesafiri, Mkeo kaleta Mchepuko ndani, unamfuma na kumwonyesha hizo Video. MKE Anaanza kukulaumu akijitahidi kuonyesha kua...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
  16. JamiiForums Tanzania Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  17. JamiiForums Tanzania Labda kama exposure imebadilisha watu ila watu waliokuwa wanaoa wanawake wa jamii zilizopo kando kando na visiwan mwa ziwa victoria walikuwa wanakiona

    Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana. Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
  18. JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  19. JamiiForums Tanzania Japo kisheria hairuhusiwi ila naomba niulize, Kwanini sasa hivi hakuna video za ngono za kawaida za wabongo?

    Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za watanzania ila zote, wanacheza mapenzi kinyume na maumbile, yani zote. na sio kua ni madangulo, wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Trump: Tuliwapa silaha Wakurdi wazigawe Kwa waandamanaji wa Irani ila hawakuzigawa

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya Al Jazeera Aprili 6, 2026, Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani ilijaribu kuwapelekea silaha kwa siri waandamanaji wa Iran kupitia wasuluhishi wa Kikurdi, zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya vita vya sasa kuanza, hata wakati huo ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…