Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake