ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

    Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi? Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town. Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni. Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha

    Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha Habari wana JF, Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada. Wengine wana...
  3. JamiiForums Tanzania Katika picha kanaonekana kazuri kenyewe ila ngoja kafungue mdomo

    Haka kazee ketu , kanaonekana kapole , kastaarabu , Tena kazuri kenyewe kamenona na hakana shida na mtu. Ila sasa ngoja kafungue mdomo wake kaanze kumwaga sera zake ,ndipo utajua ubaya wa njaa ikihamia kichwani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakivuliwa uanachama wanaendelea na Ubunge ila Makamu aaaaa!

    Sheria ya nchi hii kwasasa inatafsiriwa kulingana ni nani anatakiwa kuhukumiwa. Kangarooo. Mwanasheria Mkuu Leo anatafsiri vitu almradi tu Nchimbi awe na hatua. CCM kajifunzeni CHADEMA tangu enzi za Zitto, Arfi na Prof Safari
  5. JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee wa Msoga, Kama hayupo vile, ila ndo anasukuma Kete yake 'Mwishoooni atuwekee Mtu wake et aje kama Mpatanishi/Mfariji".

    Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa. Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  8. JamiiForums Tanzania Ila Ahmed Ally 🤣🤣🤣

    Soma reply yake 🤣🤣🤣 Huyu jamaa kama Ally Nadin ( Mind your language comedy)
  9. JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  10. JamiiForums Tanzania Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hasiye sikia la mkuu, Nyerere alisema wahaya na wachaga hawafai kuwa viongozi mnakengeuka,Mbowe hajawai enda ukonga ILA Leo kaenda na kurudi haraka.

    HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine, Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA? Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini wadada wenye makebo makubwa huwadharau wenzao wembamba mbona sisi vidume wenye pesa huwa watu poa kwa wenzetu makapuku

    Mallerina aka kiuno nyigu, shepu ya zebra huwa ni kwanini lakini? Mbona tajir secretarybird ni mtu poa sana kwa apeche alolo wengi tuliomo JF?
  13. JamiiForums Tanzania Kitambaa cheupe, sijui ni nini kinaendelea ila wakati mwingine Maisha ni Bahati tu

    Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala, Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika. Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada...
  14. JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuku ana mbawa ila hajui kuwa kazi yake ni kuruka na hataki kujifunza kuruka, karidhika 😊 kataa kuwa kuku ✍️

    Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna makombo kwa sababu tu alikuta wenzake wakifanya hivyo, na amezoea mazingira hayo. KATAA KUWA KUKU...
  16. JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Android Smartphones: Nazipenda sana Samsung lakini nalazimika kuichagua Pixel sababu ya kamera kali na size ndogo ya kuenea kirahisi kiganjani.

    N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26) Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana 📸🔥. Ukilinganisha na S25 na S26...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna furaha sana ya kunywa pombe na company ila majuto yake ni makubwa sana siku inayofuata

    Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana.... Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote. Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf Pombe ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ya kiwandani kila ukienda kuomba unapata ila unaweza kukimbia kabla ya kulipwa

    Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia malipo kwa siku unakuwa bado hujajua ugumu wa kazi unajipa moyo nitakomaa ila anadai mateso yaliyoko...
  20. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Mtu anaamua kuanzisha vikosi vyake, kutukana watu ila anaachwa tu

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa. Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…