ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Ila wanawake wa humu ndani.....

    Nikaambiwa ujue tunakuchukulia kama kaka yetu! Kwahiyo.. Yaani mimi NI KAMA KAKA YAO..! Lakini mimi sio kaka yao maana hatuna hata vinasaba vya DNA😀
  3. stabilityman

    JamiiForums Pesa haileti mafanikio ila pesa inamfata aliyefanikiwa

    Habari Karibu tufungue ubongo . Kwanza nikueleze pesa haiendi kwa mtu asiye na potential cha kwanza uwe mtatua matatizo fulani basi pesa ndio itakufata
  4. haszu

    JamiiForums Wanaume wengi wanabakwa ila hawasemi /hawajui maana wanachukulia kama "Zali la mentali"

    Kama ulifanya mapenzi bila ya ridhaa yako /kulazimishwa, maana yake ulibakwa, hili linawakuta wanaume wengi sana ila wao wanaona kama ni zali la mentali. Mimi kuna dada alinibaka na hadi leo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu. Kipindi nilienda likizo kwa bibi, kule kuna nyumba mbili, moja...
  5. H

    JamiiForums Siikubali CCM kwa namna wanavyoendesha nchi ila Sina Imani na mpinzani wake CHADEMA

    Habari wanajf Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Japo Rais Wetu Sio Malaika, ni Binadamu, Anaruhusiwa Kukosea Vikosa Vidogovidogo vya Kuteleza Ulimi, Tusimfanyie Nongwa, Tumvumilie, ila Vinapozidi..!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kufuatia Ibara ya 46 ya katiba yetu kuwa na kipengele cha kinga yaq Rais wa Tanzania, hawezi kushitakiwa mahakamani kwa kosa lolote, hivyo kuna watu wanadhani mtu akiwa rais wa nchi, anabadilika anakuwa ni malaika na hivyo hawezi...
  7. sergio 5

    JamiiForums Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

    This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders Vission + composure 💯 Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥 Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanja
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
  9. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Dini haiokoi ila Yesu. Mtafute na kumshika Yesu na siyo dini

    Dini ni utaratibu aliouanzisha mwanadamu katika kumtafuta na kumuabudu Mungu wake.. ila YESU ni Mungu aliyejinyenyekeza kujishusha kuvaa mwili wa mwanadamu,kuzaliwa kimasikini katika zizi la ng'ombe,kaishi maisha ya duniani na kuwa rafiki na kukaa pamoja na wanadamu wenye dhambi(Emmanuel) ili...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Baba Levo: Nataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka

    Baba Levo amesema anataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka.
  11. MK254

    JamiiForums Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

    Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
  12. M

    JamiiForums Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

    IMAGINE Mwaka 2022 nilikuwa huko kigoma vijiji vya karibia na mpaka wa tz na burundi panaitwa kalinzi, huko ni mwendo wa baridi tu, kuna nanasi za kutosha. Sasa bhana kwasababu ya ugeni wangu sikuwa bado na mpenzi nilikuwa kuku mgeni. Kule bhana kuna watusi wa kumwaga wamepanda hewani weusi wa...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  14. P

    JamiiForums SI KWA UBAYA : Ila Rais wetu umetukosea sana watanzania tunajua na tunayaona

    Kwako madam president Hizi teuzi unazofanya wakati mwingine huwa unatukosea sana sisi watanzania leo hii ripoti ya CAG imeonesha madhaifu na ufisad mwingi serikalini maana yake unahitaji kuutoa huu ufisadi kwa nguvu zote Bahat mbaya badala ya kupambana na ufisadi wewe unateua fisadi ndani ya...
  15. M

    JamiiForums Kuna watu wanaweza kukaa peke yao siku nzima bila kuchoka, wanapenda wageni ila mgeni ukikaa zaidi ya saa unawaboa

    Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake, Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi...
  16. S

    JamiiForums Aviator mchezo ulionipoteza kiakili na kifedha ila sasa nimeushinda

    Nataka kushiriki uzoefu wangu kama somo kwa wengine. Nilicheza mchezo wa Aviator, ambao walisema ni 'provably fair', lakini kwa kweli nilipoteza hela nyingi sana. Mchezo huu uliharibu hali yangu ya kifedha na kuniacha na pressure kubwa ya akili. Zaidi ya hasara ya pesa, niliona pia jinsi...
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Sitaki kumsaliti mke wangu ila ananilazimisha

    Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl. Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa muda wote anakagua simu yangu. Haya nayapitia mwenyewe nyie watu mliooa?
  18. Waufukweni

    JamiiForums Djigui Diara ni Golikipa mzuri lakini amekuwa na nidhamu mbovu

    Djigui Diara ni Golikipa Mzuri sana na bora pengine kuliko kipa yoyote wa kutoka nje kuwahi kuja kucheza hapa Tanzania, lakini pia ndiye kipa kutoka nje amekuwa na nidhamu mbovu kuliko ila amekuwa anaruka sana vikwazo. Mechi na Simba alimfuata mwamuzi kama hivyo kwenye video ya pili, akalambwa...
  19. Red black

    JamiiForums Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

    kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
  20. Bani Israel

    JamiiForums Waliotuletea dini wote wanakula sikukuu kesho ila sasa nchi yangu 🥲

    Iran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la...
Back
Top Bottom