ijumaa

  1. Alexido jz instagram

    TNA: ONYO TETEMEKO LA BURUDANI, ITAYOAMBATANA NA KIJIMVUA KIDOGO CHA ELNINO ISIYO UMIZA, KUITIKISA TANZANIA IJUMAA HII

    Ijumaaa hii, tar 20 nov 2026, saa 11 alfajiri, Hakikisha una akiba ya bando la kutoushaaaa ndani, hakuna kutoka mzeer, 🛌🛌💃🕺🕺🕺 mzuka sana hallo ooo, lile saniii la kimataifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kwa stageeeeeeeeeeeeeeeeee its ZACHARIANO ALEXIDO jr🇹🇿 Nb, huyu ni mbongo, mwenye DNA ya tanzania na...
  2. Pascal Mayalla

    Macho na Masikio Yote ni Mahakama Kuu, Kusubiria Hukumu ya Kesi ya Lissu. Je Haki Itatendeka na Kuonekana Imetendeka?. Jibu ni Keshokutwa Ijumaa!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa kujiuliza kama je haki itatendeka na kuonekana imetendeka...
  3. M

    Nawatakia ijumaa njema wakiristo wote wa jf.

    Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67 Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3 Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi...
  4. Alexido jz instagram

    Zanzibar: Mwanafunzi wa Shule ya Kizimbani, aliyepotea tangu ijumaa apatikana akiwa kafariki, amekatwa mkono

    Binti raiyan ameir amour mwanafunzi shule ya kizimbani Zanzibar aliepotea tangu ijumaa apatikana akiwa amefariki huku akiwa amekatwa mkono mMoja. Mbunge wa Jimbo hilo ataka uchunguzi wa kina ufanyike na watuhumiwa wakamatwe, bado haija julikana chanzo nk
  5. 1995El

    IJUMAA KAREEM.... 🙏🙏🙏

    IJUMAA KAREEM WAKUU 🤲🏾 Leo tusikumbuke tu kusema Ijumaa njema, bali tukumbuke pia kusamehe, kusaidiana na kumuomba Mwenyezi Mungu atufungulie milango iliyofungwa. Kila mmoja ana vita yake ambayo haionekani kwa macho. Mwenyezi Mungu awape wepesi wenye uzito moyoni, riziki yenye baraka na majibu...
  6. Zack Abdul

    Juzi ijumaa uchambuzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa kwenye gazeti la uhuru

    📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA. Na Bwanku M Bwanku. Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
  7. Mwalimu Mkuu

    Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
  8. Zack Abdul

    TANZANIA LEO – IJUMAA, SEPTEMBA 4, 2026 🇹🇿

    📌MSIMAMO WA Rais SAMIA BEI SARUJI WATIKISA — Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza hatua za kudhibiti kupanda kwa bei ya saruji na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa kwa bei nafuu. 📌Mhe. Mwigulu: Tuwawezeshe Watanzania kushika uchumi wao, kupunguza umaskini — Serikali yaweka mkazo katika...
  9. kyaibumba

    Natangaza kila Ijumaa ya mwisho wa Mwezi ntakuwa natoa sadaka kwa watu wasio na uwezo

    Jana nimewasema vijana kutopiga kazi na wengine kutojishughulisha na kuomba omba pesa Kwanini nilisema Kuomba omba pesa na ilinikera Mtu Ana bando Ana simu Ana contact kibao za kuwezo kumpa kibarua hata cha kufyeka apate angalau sh 4000 kwa siku ye anakuja Mtanzanoa kuomba 1000 ya kula ? Huo...
  10. M

    Leo ni ijumaa. Muislam acha yote popote tukimbilie msikitini

    “Enyi mlioamini! Inapoitwa Swala siku ya Ijumaa, nendeni kumkumbuka Mwenyezi Mungu…” (62:9) Kila muislam anatakiwa inapofika wakati wa swala utapofiks tuache kila kitu tukimbilie msikitini. Kama ni semina, bungeni, kazi binafsi, kampuni
  11. M

    Leo ijumaa tuwaombee dua wairan na wanaharakati wa Tanzania

    Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui. Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam. Kwanini wanashindwa kulaani raia wa Isreal na marekani wanaonyanyswa kutuma picha za matukio ya vita nchini kwao?
  12. Fbn

    PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

    Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa. Nikashangaa maana sio kawaida.
  13. Roving Journalist

    Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  14. W

    Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  15. Inside10

    Je, Unabii Huu Wa Prophet Rollinga Kwamba Siku Ya Ijumaa 29/8/2025, Kuna Kitu Kitatokea Utatimia?

    Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu... Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri... https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
  16. USSR

    Imani kali :malesia kuanza kufangua jela watu wasio swali ijumaa ,hii imekaaje wakuu?

    Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa . Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani USSR
  17. S

    Hadi Sasa Nina Watu 100 Wamehamasika Twende Tukaiondoe Morocco Ijumaa, Wewe Unangojea Nini

    Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise. Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano Waganda wako juu sana kwenye Hamasa, wakenya wako juu vibaya mno ktk Hamasa Ni kushangilia mwanzo mwisho ijumaa ili...
  18. U

    Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  19. Yoda

    Ijumaa imekuwa siku muhimu sana kwa Waarabu kwa karne nyingi

    Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati. Siku hii ya Ijumaa...
  20. Stuxnet

    Kila Ijumaa eneo la Chagga Street kuna ongezeko kubwa la ombaomba. Je, ni jukumu la nani kushughulikia changamoto hii ya kijamii?

    Wanafika kuazia saa 11 alfajiri kila Ijumaa kumsubiri tajiri wa Oilcom. Naye anawagawia Tsh 2,000/= kila mtu. Mtaa huu ni maarufu kwa vile una migahawa miwili maarufu Chef Pride na KT Shop. Tajiri wa Oilcom anafika mida ya saa 1 kupata breakfast yake Chef Pride Kuna ombaomba wa umri kuanzia...
Back
Top Bottom