Kama mnakumbuka wanaJF, Mzee Mwanakijiji aliwahi kuleta mada hapa kuhusu alivyotembelea The Hague kujionea mwenyewe mambo ya huko, hasa baada ya matukio ya kusikitisha yaliyotokea hapa nchini.
Alieleza mengi aliyoyaona na kuzungumza, angalau kwa kiasi na watoa habari kuhusu mahakama hiyo katika...