Tuambizane, siku hizi za weekend wewe unapenda kuamshwaje na mwenza au mpenzi wako?
Leo nafungua macho nasikia sauti ya adhana na mipapaso ya ba mjengo, nikamtizama huku napata shida kufungua macho, ila yeye namuona sura kavu kama alishaamka muda mrefu. Mara akashuka kitandani, nikajua anaenda...