huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Misukosuko mikubwa inamkuba, wananchi wanazidi kumchukia. Huyu rais atamaliza 2030?

    Tangu tupate uhuru hakuna rais ambae amekumbwa na kadhia ya kuchukiwq na hata kutawala kwa kulazimisha tu. Je, atamaliza hii ngwe mpaka 2030? Amechukiwa sana zaidi hata ya Hitler wa Ujereman
  2. Hivi wakuu unapata msupu kama huyu ameridhika na wewe na anakuheshimu ndani yaani hata kama unapitia ugumu flani ukirudi ukiona ua lako moyo unapoa

    chocolate colour, Tumbo halina nyama nyama, Kimo cha wastani, Makebo malaini, Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha Shape hourglass, Asiwe na dharau, Asiwe na kisirani Maziwa mazito ili niwe naweka uso wangu na rotate kichwa Kwa bahati mbaya hizi...
  3. Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

    Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
  4. M

    Tujihoji kwa akili: Dereva aweke plate namba bandia alafu atishie mtu kwa toy, huyu ni mtu salama?

    Atakaye amini huu uongo na uzandiki basi atakuwa hajiyambui. Yaani mtu abadilishe gari namba zake. Alafu achukue bastola ya kuchechezea watoto alafu atishie mtu hadharani. Hajui madhara yake? Je angepigwa yeye risasi ya ukweli. Je wananchi wangemshambulia na kumuua?
  5. Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

    Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya...
  6. VIDEO: Ukishangaa ya Kawe, Utastajaabu ya huyu mwambo hapa. Mind you hii sio comedy show

  7. Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

    Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye. Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye...
  8. Kilimanjaro: Mwalimu agomea kuhama, vitu vyake vyatolewa nje Siha

    Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao kutolewa nje, kufuatia uamuzi wa kumtaka mwalimu huyo kuondoka katika nyumba hiyo. Mwalimu huyo, Omary...
  9. VIDEO: Huyu ndie mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kujibu maswali ya waandishi

    Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini? Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
  10. Je unamfahamu mtu huyu?

  11. Hebu Tumsikilize Huyu Ndugu Kuhusu Continuity Cable

  12. Aina gani ya kozi itamfaa huyu?

    Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo? Nina mdogo wangu kachaguliwa 1.IAA kozi ya Accountancy in IT 2. Transport and Logistics NIT 3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE. Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri...
  13. M

    Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  14. VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

    Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video... Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
  15. Naomba msaidie huyu kijana

    Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena Hapo shida itakuwa wapi?
  16. Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  17. Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana wengine, Na moja ya kazi niliowahi kuifanya ni kazi ya bodaboda, Ambayo mwisho wa siku...
  18. Huyu mwanamke amenipeti peti kama mtoto mdogo, simuachi

    Wakuu habari, Ijumaa iliyopita nilikuwa nimejichokea zangu kutokana na hekaheka za hapa mjini za kujitafutia mlo wa kila siku. Nikapata wazo, ili nikae sawa inabidi nitafute sehemu ya kwenda kupumzika nje ya mji. Ikabidi nichague mkoa mmoja ambapo mama mtoto wangu mmoja anaishi huko...
  19. JE HUYU SALMAN NILESH NI NANI

    Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche
  20. Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…