huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Muafrika mwenzetu huyu anatueleza haya

  2. Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

    Guys hope mko Salama. Kwenye pitapita zangu za utafutaji kuna omba omba mmoja ni mlemavu wa miguu. Yani ni wale mikono ni miguu na miguu imelegea kabisa haina kazi...anatembelea wheelchair kwa kusukumwa na ndugu yake. Sasa huyu mhitaji alikuwa anafika kila siku kupata huduma maeneo...
  3. Huyu mchaga ni level ya juu sana

    Wachaga ni wasomi sana lakini mbona siwaoni katika nafasi kubwa za uongozi?
  4. Ujinga ni kitu hatari. Huyu mama ntilie anawalisha watu kinyesi cha binadamu

    Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi? https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
  5. Huyu Simai katumwa?-The Zanzibari Collusion

    Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yuda na msaliti. Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote. Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake. Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo...
  6. Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

    Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani. Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana. Kabla ya uchaguzi. johnthebaptist
  7. O

    Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Jonee mwenyewe https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
  8. Kwa takwimu hizi, Huyu hakustahili kubeba EPL

    Yaan8 ni kipofu Hata mashabiki wake ni vilaza
  9. Huyu Kamera Man wa Chato katuharibia picha yetu ya karne

    Guys Kwani huyo mzee.wa mwisho kulia angemkata tu asionekane maana kaharibu kila.kitu tunashindwa kucoment.
  10. Huyu nae amekazia. Pgo ya polisi ina kifungu kinachoruhu kuua . Na walifanya kazi iliyotukuka

    Polisi wamepongezwa tena na CCM👇
  11. Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli...
  12. Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  13. Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  14. Huyu jamaa akishavuta ganja akipanda on the stage ni balaa tupu😂

    smoking On the stage
  15. Sipho "Jambo" Johnson: Sikujua kama huyu dogo alishatangulia

    Nilipenda sana reggae zake zilizokuwa zinamidungo ya kiafrika afrika. Watu wengine walifikiri miziki yake ni ya Lucky Dube. Leo ndio nimejua kuwa alishafariki miaka kadhaa iliyopita. RIP Sipho Johnson "Jambo"" https://www.youtube.com/watch?v=T7J9JjrDzUA...
  16. Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  17. W

    PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi. Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea...
  18. R

    POLISI tafadhali mshughulikie huyu anahatarisha Amani yetu, isiwe mnaiona Chadema tu ingawa Chadema haijawahi hatarisha Amani

    Clip speaks for itself
  19. M

    Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

    Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano. Huyu mwanamke ni aina ya...
  20. Nilimtongoza huyu dada, akanikataa,, akamchagua jamaa yangu, sijatajirika sijabadirika leo, anani fata, eti she loves me

    Hawa viumbe sijui shida Nini, nilimtongoza, akanichomolea, akamkubali mshikaji wangu, nikasema basi haikua bahati, time go, eti Leo ananambia ananipenda nimuowe, Mimi sasa👇 Nikajifikiria, nikamtega, vipi bikra bado ipo, akadai ipo imejaa telee, dah nikakuna kichwa, nikampa hii, dada angu Sina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…