huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini ni wazi huyu kijana wa Bavicha pwani Katumwa chukua hizi hints za kijasusi

    Guys. Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia. 1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera. 2. Kijana ameongea amejawa na wasowasi mwingi kwa ongea yake ya harakaharaka isiyokuwa na...
  2. R

    Sikiliza Chawa huyu, mpaka inatia kinyaa!

    Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka
  3. Huyu Jamaa Anakuja Lini?

    Tangu tukiwa wadogo tukiwa tunapiga kelele, story imekuwa ni moja tu jamaa anakuja! Walimu walikuwa wanatupiga mkwara hadi tunashindwa kulala, tukihisi tukifumba tu macho, jamaa huyo hapa getini. Lakini miaka imekata, 2030 hiyo hapo inachungulia, na maisha bado ni yaleyale, foleni za...
  4. Tukishamfukuzia huyu Kizimkazi; Je, ajaye naye tumfukuzie Ikungi?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kuwa mambo ya kuchochea chuki za ukabila, ama udini, yakianza na tukayapa nafasi, hayana simile. Si hoja yangu leo kumtetea Rais Samia kwa mambo anayolaumiwa, Hoja yangu ni propaganda za ubaguzi wa kidini, kikabila na kikaburu zinazoambatanishwa na ukosowaji...
  5. Kuna mambo yana chekesha sana ;Iran ya sasa iwezi kutanganza wala kuonesha huyu ni kiongozi wa sasa.

    Tumeshuudia kila kiongozi wa iran aliwahishwa haraka kupokea mabikra 72. Kwa sasa nchi ya irani inaogopa hata kutangaza huyu ni kiongozi gani maana kwa mashambulizi wanayo pokea mpaka nyumbani kwao na familia zao wameona kuishi kwa mtindo giza.
  6. Kuna wanaume nikiwaangalia kwa muonekano wao, najiuliza hivi huyu atapata mpenzi kweli?

    Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za ziada kama hela/kazi, kunawanaume wengi wangekua na hali ngumu sana. vice versa Jamaa wengi...
  7. V

    Je, huyu ndiye muwakilishi wa wachungaji wachoyo zaidi?

    Ndugu zangu miongoni mwa mambo yanayofanXya Imani ionekane uhuni ni pamoja na hili la wachungaji kuisujudia pesa. Musikilize mwenyekiti wa CPCT (The Council of Pentecostal Churches of Tanzania) Yaani mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya kilokolo (wokovu) anavyowakilisha asilimia kumbwa ya...
  8. M

    Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba...
  9. Yanga tusifanye makosa kwa kocha tena huyu kocha mrudisheni

    I salute you kinsmen Nilikuwa kimya kwa muda mrefu maana niliona wazi dalili kwetu si nzuri sana Kimsingi msimu huu ilitakiwa tubebe yote tena lakini kwa kuwa kuna sehemu tangu mwanzo tulishabugi basi ikawa kusubiri kudra tu. Tulikosea kwenye usajili huo ndio ukweli kabisa. Walioingia...
  10. Msaada wa ufadhili wa masomo kwa huyu binti

    Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa kupata division one na kachaguliwa kwenda kusoma kidato cha tano Arusha. Ana mama yake ambaye hana uwezo...
  11. Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  12. Je, tumeamua kumfuga huyu chatu na kumruhusu atawale nyumba yetu?

    Wakuu heshima kwenu. Baada ya muda mrefu kuwepo nje ya jukwaa Leo nimeamua kurudi kutoa maoni yangu na kushirikiana na wanajukwaa katika kujenga na kukosoa yale yasiofaa. Kama kichwa Cha habari kinavyouliza hapo juu, Wakuu, Je! tumeamua kumfuga huyu chatu na KUMRUHUSU...
  13. Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  14. N

    Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena. Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu. Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
  15. Ni maneno gani ukikuta mtu kakomenti humu jukwaani unajua kabisa huyu kavurugwa na maisha?

    Ciao, Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili. Utawajua kwa hizi komenti 👇 "Jiandae urudi shule" "Kwan shule zimefungwa?" "Hama apo kwa shemeji yako 😁" "Unahitaji kumeza dawa zako" "Tafuta hela" "Njoo pm" "Mwanaume mzima unawaza mapenzi?"...
  16. K

    Huyu ananinyima tu au ni kweli?

    Wakuu,nimeamka na nyege zangu leo,nikacheck phone book yangu demu wa kupiga chapchap,huyu mmoja kanijibu eti yuko tarehe za mimba. Hivi kuna mtu mzima analogous mimba kweli?
  17. Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

    My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
  18. Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…