huu

Trần Văn Hữu (Vietnamese: [t͡ɕən˨˩ van˧˧ hiw˦ˀ˥]; 9 March 1896 – 17 January 1984) served as president of Cochinchina's government from 1948 to 1949, and as Prime Minister of the State of Vietnam of the State of Vietnam from 1950 to 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. realMamy

    Rafiki wa Mume wangu............

    Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake. Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na...
  2. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    𝗙𝗥𝗢𝗠 𝗣𝗔𝗬𝗠𝗘𝗡𝗧𝗦 𝗧𝗢 𝗠𝗔𝗥𝗞𝗘𝗧𝗦: 𝗝𝗘, 𝗨𝗞𝗨𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗝𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗭𝗔𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗧𝗛𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔? 𝘔𝘸𝘢𝘬𝘢 2025 𝘮𝘢𝘭𝘪𝘱𝘰 𝘺𝘢 𝘮𝘵𝘶 𝘬𝘸𝘢 𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 (𝘗2𝘉) 𝘯𝘤𝘩𝘪𝘯𝘪 𝘺𝘢𝘭𝘪𝘧𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘛𝘡𝘚 𝘵𝘳𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 37.52 𝘬𝘶𝘱𝘪𝘵𝘪𝘢 𝘮𝘪𝘢𝘮𝘢𝘭𝘢 𝘣𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 2.30, 𝘴𝘢𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘵𝘢𝘬𝘳𝘪𝘣𝘢𝘯 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 16 𝘺𝘢 𝘗𝘢𝘵𝘰 𝘭𝘢 𝘛𝘢𝘪𝘧𝘢. 𝘞𝘢𝘧𝘢𝘯𝘺𝘢𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢...
  3. Teslarati

    Tuseme ukweli, maisha ya mtanzania wa hali ya kawaida yamekua magumu sana kiuchumi kwa mwaka huu 2026

    Bila kupepesa macho tuseme ukweli. Hali imekua mbaya sana kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida ukiachana na baadhi wachache waliopo kwenye mifereji ya pesa kwa mwaka huu 2026 Kwa ground hali sio poa kabisa. Ndugu na jamaa wa karibu hadi kuna mda nawahurumia juu ya vilio kuwa vingi, haina jinsi...
  4. Deus Jovin

    Ulofa wa Jaji Ndunguru Huu Hapa: “Haiwezekani Lissu Akavuruga Uchaguzi kwa Njia za Amani”

    ULOFA WA JAJI NDUNGURU: ETI “HAIWEZEKANI LISSU AKAVURUGA UCHAGUZI KWA NJIA ZA AMANI” Napendekeza kuwa Jaji Ndunguru anasumbuliwa na ulofa wa kifalsafa, yaani, philosophical illiteracy, katika kipengele Cha falsafa inayochunguza uhusiano uliopo kati ya sababu na matokeo (etiology). Hoja yangu...
  5. AXIOM APEX VERBOSE

    Juzi nilimtumia Binti yangu mmoja mstari fulani kumkumbusha na wewe mtumie binti yako mstari huu umkumbumbushe

    Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu. Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
  6. PureView zeiss

    Video: Kwa utapeli huu sioni sababu ya kununua gari kwenye baadhi ya yard

    Ebu fikiria tapeli anashusha milage kutoka km 160,000! Hadi km 1,1970 alafu bila kujua kuwa used car yenye milage kiasi hicho bei inakuwa sawa na mpya. Serikali ingieni Kati kusaidia wananchi dhidi ya utapeli huu kwenye baadhi ya yard...tunajua baadhi ya wauze magari wamenyooka ila wengi wao ni...
  7. Dogoli kinyamkela

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe
  8. Pendaelli

    ikitokea lisu akaachiliwa huru, huu ulinzi utamsindikiza hadi nyumbani labda?

    Mwenyezi Mungu ajalie yatoke maamuzi yanayotarajiwa na wengi. sisi tuliopo huku mtaani kila mtu sala yake anaomba lisu achiliwe , si kwa maslahi yoyote isipokuwa ya taifa na hatma nzuri kwa taifa letu. mi nakajiuliza ikiwa itakuwa hivyo ambapo pia ni dua yangu kwa Mungu awe huru,sasa alivyo...
  9. Jaji Mfawidhi

    TANZIA: Doctor Sokile kuzikwa muda huu Mara Mjini!

    Bodaboda aliyemgonga doctor Sokile pale Sayansi Dar es salaam siku ya 30-10-2026 na kumuua sijui anajisikiaje saa hii. anazikwa leo 6-11-2026. BODA BODA ASIYE NA LESENI ALIYEKUWA ANAKIMBILIA ABIRIA WA ELFU MOJA AMETTULIA MTU HUYU:1 Elimu ya Juu: Ana Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Masomo ya...
  10. JF Member

    Hakuna chombo cha habari kilicho live Kisutu Hadi muda huu.

    Afu mtu anakuja kusema uhuru wa vyombo vya habari. Atakuwa amelogwa
  11. Pendaelli

    Sala Dua na Maombi yangu Lissu aachwe huru, huu mjadala ufungwe, tuendelee na mambo mengine

    Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine. Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50 Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Serikali ya CCM ilijua kwamba El Nino ya mwaka huu ni ya joto, kwanini walipunguza muda wa watoto kuwepo mashuleni na kuamuru warudi nyumbani fast?

    Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema? Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame? Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
  13. N

    Hivi kuna mrembo Nani yupo online hadi mda huu tuchat nae

    Hivi kuna mrembo Nani yupo online hadi mda huu tuchat nae
  14. A

    Naomba ushauri juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari za wakati huu, Hapo eneo moja lililopo Dodoma mjini kuna Mama aliuziwa kiwanja miaka ya tisini huko kama sio mwanzoni mwa elfu mbili hivi. Sasa akajenga kijumba kidogo cha kuanzia maisha kisha mambo mengine yatafuata mbele, na hapo mtaani eneo karibu lote wameuziwa viwanja/ mashamba na...
  15. Roving Journalist

    NECTA imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba Mwaka 2026

    https://www.youtube.com/live/fgScnH9W6rA TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) ULIOFANYIKA SEPTEMBA, 2026 UTANGULIZI Katika Mkutano wake wa 173 uliofanyika tarehe 02 Novemba, 2026 katika ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania zilizopo Dar es Salaam, Baraza la...
  16. comrade_kipepe

    Ushindi huu wa Simba usheherekewe week hii nzima

    Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli. Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
  17. technically

    Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

    Tuachane na mambo ya Lema Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu Twendeni road tukamkomboe Lissu Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
  18. M

    Hakuna jeshi jirani litakalowaweza watutsi kufikia 2050, Tukio la mwaka jana kuwazidi mbinu Jwtz na majeshi mengine limeonyesha walivyozidi kuimarika.

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi. Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
  19. Ndagullachrles

    Hongera UWT Moshi mjini kuanzisha mradi wa ushonaji ,Jumuiya nyingine za CCM ziige mfano huu

    Moshi Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza. Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
  20. BIOTOXINS

    TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
Back
Top Bottom