huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Sina Huruma na CHADEMA Mimi. Kila Baya Liwe Juu Yao. Siwapendi Kwa sababu ya Matusi yao kwa Rais wangu

    Ndugu zangu Watanzania, Huruma siyo Malezi,sina huruma na CHADEMA Mimi wala sina nachowaombea kizuri chochote kile. Kila Baya Liwe juu yao . Wapitiage mabaya tu na kukutana na mabaya tu na kila aina ya Dhoruba itakayo wapa msongo wa mawazo na mateso ya akili . CHADEMA wasipate amani ya moyo...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeitazama hii video nimebaki tu kumuonea huruma Antiphas

  3. K

    JamiiForums Tanzania OMBI MAALUMU: Machawa na Kina Juma Nkamia, Huu Ndio Wakati wa "Kumuonea Huruma" Rais Wetu Kipenzi—Kazi ya Machi 2021 Iishe Kabisa!

    Wana-JamiiForums, Machozi ya furaha yananilenga nikitafakari mapenzi makubwa ambayo Rais wetu mpendwa anayo kwa Watanzania, hadi baadhi ya wanasiasa wa upande wa pili sasa hivi wanakunywa chai Ikulu na kusahau mikutano ya hadhara. Kwa wingi huu wa kura na asilimia tulizonazo, hivi kweli...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mahakamani huru ya Tanzania isione huruma, aibu wala haya katika kuwahukumu wakiuka sheria na wasio itii katiba ya nchi.

    In fact, kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi. Sheria na...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Burundi kutazamwa kwa jicho la huruma na kusaidiwa

    Wakuu kwa hali ilivyo naona kabisa Burundi ni taifa lililofeli kabisa kiuchumi. Ndani ya wiki hizi 2 nimeona raia wa Burundi wakifukuzwa nchini Kenya, Tanzania na Zambia kwa mamia. Yaani jamaa hawatakiwi. Kwa mfano juzi Zambia imewarudisha makwao wahamiaji haramu 143 ambapo waburundi ni 133...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Usichanganye huruma na udhaifu, wala nguvu na ukatili.❗❗❗

    Wakati ulikuwa msumari, ulijifunza kwamba dunia haipunguzi nguvu kwa sababu wewe unaumia. Sasa ukiwa nyundo, usisahau somo hilo. Lakini mpiganaji mwenye akili hapigi kila kitu anachokiona. Anajua wapi apige, lini apige, na ni pigo gani litakalomaliza vita badala ya kuanzisha vita vingine...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Amka: Mungu hayupo mbali, yupo ndani yako acha kutia huruma kusubiria bahati.

    Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕ Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨 Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽 Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
  9. prida

    JamiiForums Tanzania Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    . Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi. Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Unamuonea huruma mtu kufiwa kufiwa na mumewe unakuta kumbe huyo bibi fudenge anashiriki mapenzi ya jinsia moja.

    Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia. Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wamekua na Huruma kwa Afya ya Mzee Warioba, Watanzania hapohapo wamelipuka Furaha kwa Kifo cha Mzee Hafidh. watawala mjitafakari mara moja

    Huruma, Huzuni, Maombi yameelekezwa kwa Mzee Warioba
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Mayor Temeke Muoneenni Mh Rais Huruma!

    Tanzania ni kubwa sana , ina miako zaidi ya 26 na wilaya karibu 300. Tanzania ina masoko zaidi ya elfu 8 . Masko yanasimamiwa na local government ambayo ipo kumsaidia mheshimiwa Rais. Sasa , pale wanapofanya vibaya anayelaumiwa ni Rais ni sio hao wwatendaji. Mh Rais , anapenda usafi hata juzi...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Gaidi Ahmed Yaqoub aangukia mikononi mwa IDF na kuangamizwa bila huruma!!

    Mmoja wa magaidi wengine (Ahmed Yaqoub) aliyeangamizwa katika shambulio lile lile la anga huko Jenin leo. Alikuwa njiani kuelekea kuwa kiongozi wa magaidi aliyefanikiwa kuwa toro ka Askari wa IDF Oct 07,2023 leo kajikuta yuko mikononi mwa majeshi ya ISRAEL na ameangamizwa bila huruma yoyote!!
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MSITAPELIWE NA HII KAMPUN INAJITA RICHMOTORS MIKOCHEN AMA AGUZA NASI CHINA MADADA NIKICHOKIONA NIMEWAONEA HURUMA HAWANA OFISI UTALIZWA

    ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuao uchoyo,ulafi, na uovyo wa CCM, kuna haya ya kumlilia au kumuonea huruma Nchimbi?

    Vita ya kunguru ni neema ya panzi. Ukiona adui yako anakosea msifie na si kumkosoa. Huu ndiyo uoni wangu juu ya ufukuzwa na kupotezwa kwa Emmanuel Nchimbi toka umakamu wa rais. Kwangu ni furaha na raha kuona maadui wa taifa wakitafunana. Ningependa watafunane hata kuuana. Ukiondoa wapinzani...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba Chuo cha IFM kusikia kilio chetu kuhusu baadhi ya Walimu wanavyokosa huruma kwa Wanafunzi

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), nikiwa katika mwaka wa pili wa masomo. Naomba kutoa malalamiko yangu kuhusu mwenendo wa mmoja wa wahadhiri wetu, ambaye kwa mtazamo wangu amekuwa akituletea changamoto kubwa sisi wanafunzi, hasa katika masuala ya ufundishaji na tathmini...
  17. Vien

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha red meat kwa miezi 6, nimejikuta nimekuwa mtu mwenye utu na huruma zaidi

    Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua mabadiliko ambayo sikuyatarajia. Sio kwamba naweza kusema moja kwa moja nyama nyekundu ndiyo ilikuwa...
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mungu mwenye huruma anataka kutuchoma siku za mbeleni?

    Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja kutuonesha ushahidi wa wazi ambao ungefanya tumuamini, zaidi kaacha binadamu ndio watangaze uwepo...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akina Mama Mathare na Huruma Wadai Majibu Kuhusu Vijana Waliotoweka

    Familia za vijana kutoka Mathare na Huruma zimefika hadi Bungeni kudai majibu kuhusu wapendwa wao waliotoweka katika mazingira yasiyoeleweka. Juni 18, 2026: Joel Kariuki Mwai, mfanyabiashara na aliyewahi kuwania udiwani, aliripotiwa kutekwa na watu waliokuwa wamevalia kiraia katika eneo la...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Soko halina huruma. Kwa huu mlipuko wa biashara ya Wi-Fi, tunakoelekea internet itaanza kuuzwa sh 200, huku Serikali ikianzisha vibali na kodi mpya

    Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi. Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
Back
Top Bottom