huna

Hunas or Huna (Middle Brahmi script: Hūṇā) was the name given by the ancient Indians to a group of Central Asian tribes who, via the Khyber Pass, entered the Indian Subcontinent at the end of the 5th or early 6th century. Huna Kingdom occupied areas as far as Eran and Kausambi, greatly weakening the Gupta Empire. The Hunas were ultimately defeated by a coalition of Indian princes that possibly included the Indian king Yasodharman. He and possibly the Gupta emperor, Narasimhagupta, defeated a Huna army and their ruler Mihirakula in 528 CE and drove them out of India. The Guptas are thought to have played only a minor role in this campaign.The Hunas are thought to have included the Xionite and/or Hephthalite, the Kidarites, the Alchon Huns (also known as the Alxon, Alakhana, Walxon etc.) and the Nezak Huns. Such names, along with that of the Harahunas (also known as the Halahunas or Harahuras) mentioned in Hindu texts, have sometimes been used for the Hunas in general; while these groups (and the Iranian Huns) appear to have been a component of the Hunas, such names were not necessarily synonymous. Some authors suggest that the Hunas were Ephthalite Huns from Central Asia. The relationship, if any, of the Hunas to the Huns, a Central Asian people who invaded Europe during the same period, is also unclear.
Gujars are sometimes said to have been originally a sub-tribe of the Hunas.In its farthest geographical extent in India, the territories controlled by the Hunas covered the region up to Malwa in central India. Their repeated invasions and war losses were the main reason for the decline of the Gupta Empire.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  2. JamiiForums Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  3. JamiiForums Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  4. JamiiForums Faida na hasara za mapenzi yasiyo na pesa vs mapenzi ya pesa

    Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi kabla ya kujenga future yako – then you’re the biggest clown in this fcking game! MAPENZI KICHA...
  5. D

    JamiiForums Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

    Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
  6. JamiiForums Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  7. R

    JamiiForums Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

    Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza. Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
  8. JamiiForums Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  9. JamiiForums Huwezi kumiliki mali kama huna kiumbe

    https://www.facebook.com/share/v/1F1SpzrHYG/
  10. JamiiForums Ni umri Gani ukiufikia unatamani jamiiforum members wakujue na zile serikali zisizopenda kukosolewa duniani zikufahamu kwasababu huna cha kupoteza?

    Muktadha wa Uzi wangu unajieleza. Nafafanua; Kuna watu wasiopenda wajulikane milele na kwanamna yoyote Ile kwamba walikuwa kwenye social media flani na mawazo haya ndio waliyoyatoa kwenye social media wakiwa hai au wamekufa. Swali langu je wewe ungependa uwe wazi na ujulikane kwenye social...
  11. R

    JamiiForums Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  12. JamiiForums Unaanzaje kumchukia Hayati Magufuli? Utakuwa huna akili timamu

    Hi great Thinkers. Tanzania ilipata mtu ‘kwerikweri’. Wahuni pekee ndo watasema waliteswa ila ukweli ni kwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
  13. M

    JamiiForums Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani? Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri...
  14. S

    JamiiForums Kijana kama huna uwezo wa kuhudumia familia usioe

    Habari za asubuhi Wanajamiiforums. Leo nawakumbusha Vijana. Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
  15. JamiiForums Ugonjwa wa "kuamka huna hela mfukoni" na dalili zake.

    👁️JINA LA UGONJWA KUAMKA HUNA HELA MFUKONI. 👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI" (a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula. (b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
  16. JamiiForums Unajihisi una ndoto kubwa lakini huna nguvu ya kuzitimiza?

    Unawaza, “Nitafanya kesho,” lakini kesho haiji. Unataka kufanya mambo makubwa, lakini hata kuanza kunahisi kuwa ngumu. Unafikiria kuandika kitabu, kuwa na afya bora, au kujifunza jambo jipya, lakini badala yake unashinda ukitazama simu au TV. Kwa nini hili hutokea? Sio kwa sababu wewe ni mvivu...
  17. K

    JamiiForums Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

    Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma Na wewe umemsave majina mazuri Mimi huwa sina...
  18. JamiiForums Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  19. JamiiForums Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

    Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye. Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
  20. JamiiForums Kamwe usikubali mwanamke akuone huna msimamo kisa kichwa cha chini kimesimama

    Wakuu, Hawa watoto wa kike wanajua udhaifu wetu ni papuchi. Kuna wakati unakataza jambo fulani ila yeye hasikii anakiuka kwa makusudi. Au anafanya kosa fulani analojua kabisa ulishamkanya hupendi... Au umetoa maelekezo fulani kama baba wa nyumba na akakiuka kuyatekeleza kwa makusudi tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…