huna

Hunas or Huna (Middle Brahmi script: Hūṇā) was the name given by the ancient Indians to a group of Central Asian tribes who, via the Khyber Pass, entered the Indian Subcontinent at the end of the 5th or early 6th century. Huna Kingdom occupied areas as far as Eran and Kausambi, greatly weakening the Gupta Empire. The Hunas were ultimately defeated by a coalition of Indian princes that possibly included the Indian king Yasodharman. He and possibly the Gupta emperor, Narasimhagupta, defeated a Huna army and their ruler Mihirakula in 528 CE and drove them out of India. The Guptas are thought to have played only a minor role in this campaign.The Hunas are thought to have included the Xionite and/or Hephthalite, the Kidarites, the Alchon Huns (also known as the Alxon, Alakhana, Walxon etc.) and the Nezak Huns. Such names, along with that of the Harahunas (also known as the Halahunas or Harahuras) mentioned in Hindu texts, have sometimes been used for the Hunas in general; while these groups (and the Iranian Huns) appear to have been a component of the Hunas, such names were not necessarily synonymous. Some authors suggest that the Hunas were Ephthalite Huns from Central Asia. The relationship, if any, of the Hunas to the Huns, a Central Asian people who invaded Europe during the same period, is also unclear.
Gujars are sometimes said to have been originally a sub-tribe of the Hunas.In its farthest geographical extent in India, the territories controlled by the Hunas covered the region up to Malwa in central India. Their repeated invasions and war losses were the main reason for the decline of the Gupta Empire.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

  2. Godoro la kioo

    JamiiForums Ukifungwa halafu ukabainika huna hatia je. Unalipwa fidia

    Salami wakuu, Kuna swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu Hivi ikitokea ukapelekwa gerezani kwa tuhuma labda hata ya wizi au ubakaji then baada ya kukaa gerezani Kama mwaka ikaja kubainika kuwa wewe sio mhusika kwa maana nyingine ulibambikiwa kesi Je. Kuna fidia yoyote unayopewa ukizingatia...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Nabii IPM: Ni aibu una miaka 50 huna nyumba wala gari.

    Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki? https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
  4. jamaikatz

    JamiiForums Mikoa 7 huwezi kufanya biashara kama huna mganga wa kweli

    1.Njombe 2.Mbeya 3.Mwanza 4.Katavi 5.Rukwa 6.Dar 7.Simiyu
  5. VERITE-NUE

    JamiiForums Kama huna mbavu usisome hapa

    Unaamka asubuhi huku ukiwa na heng over ya jana usiku: Unapasha maji kweny jiko la gesi ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na ya baridi unajimwagia, unaungua unaanza kupiga kelele bafuni. Daaadeki Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu Ile unatoka nje ndege anapita...
  6. M

    JamiiForums Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Miaka 25 ya ubunge huna Barabara siku ukifa wataka ichongwe? Ni aibu sio uzalendo

    Miaka 25 ya ubunge alafu unakufa madarakani inachongwa Barabara kufikia pahala pako pa kuzikwa?haya hawezi tokea kilimanjarooo
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Ukiwa huna hela mipango ya biashara ina click vizuri kichwani

    Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote.. Kosa waniingizie mkwanja Tu...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Ujuzi wa mtaani unatosha – usijiuzulu kwa sababu huna vyeti

    Biashara haianzi kwa mamilioni, inaanza kwa uamuzi na akili ya kutoboa. Watu wengi mtaani wanabaki maskini si kwa sababu hawana hela, bali kwa sababu wanaogopa kuanza na kidogo. Unadhani kuanza na elfu 5 ni aibu, kumbe ndiyo daraja lako la kwanza kwenda kwenye uhuru wa kifedha. Biashara...
  10. Setfree

    JamiiForums Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  11. stakehigh

    JamiiForums Petabytes 633 ndo kiwango cha data kilichotumika na wananchi 2024/2025. Lakini mpaka leo huna cha kuuza mtandaoni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Takwimu%20za%20Mawasiliano%20za%20Robo%20ya%20Mwaka%20Inayoishia%20Juni%202025_1752572004.pdf
  12. haszu

    JamiiForums Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Ili kumfundisha mtu, huna haja ya kumdhalilisha

    Mzee mmoja akakutana na kijana aliyemuuliza: "Unanikumbuka?" Na yule mzee akamjibu hapana. Basi yule kijana akamwambia nilikuwa mwanafunzi wako, na mwalimu akamuuliza: "Unafanya nini sasa, unajishughulisha na mambo gani katika haya maisha?" Yule kijana akamjibu: "Nilikuja kuwa mwalimu."...
  14. Heritage123

    JamiiForums Jinsi ya Kuandika Copy Kali Inayouza (Hata Kama Huna Degree ya Masoko)

    Watu hawasomi copy zako kwa sababu ni nzuri — wanasoma kwa sababu wanajihisi kama wewe unajua tatizo lao. Copy nzuri haizungumzii bidhaa. Inaingia kichwani kwa mteja, inamgusa rohoni, kisha inamsukuma kuchukua hatua kama mtu aliyelogwa. 🧩 Subtopic 1: Fahamu Unamwandikia Nani Maswali ya...
  15. Mhaya

    JamiiForums Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

    Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu. Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama...
  16. haszu

    JamiiForums Kama sio handsome, huna kipaji na huna hela ila una cheat, ungekua navyo ungekuaje ?

    Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi. Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana...
  17. Zirconium

    JamiiForums Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

    Iwapo Umepoteza Meno halisi unaweza pata huduma ya meno bandia ya kudumu kutoka offisini kwetu Faida za Meno bandia .Kulinda meno mengine yasiharibike .Kulinda Mfupa Wa Taya usipotee . utatafuna Chakula Vizuri . Muonekano Mpya Na Kujiamini .Uimara /Ubora wa Meno utaongezeka Tunapatikana...
  18. Ibilisi Mjalaana

    JamiiForums KAMA UNAJIFANYA HUAMINI UCHAWI BASI WEWE NI MPAGANI HUNA DINI HUNA MUNGU

    Katika Biblia na Qur'an, uchawi unatajwa kama tendo linalokatazwa na lenye madhara kwa jamii na mtu binafsi. Mifano hyo chini 📖 Mifano ya Uchawi katika Biblia 1. Kutoka 22:18 “Usimwache mwanamke mchawi aishi.” 2. Mambo ya Walawi 19:31 “Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

    Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Usijishugulishe na jambo kama huna harakati nalo, Kila jambo lina wenyewe

    Watu wengi wamekuwa wakidandia hovyo shughuli za watu bila kutambua kuwa wanafanya makosa,Mchezaji mpira anajiingiza kwenye Ulingo wa siasa, Mfanyakazi anajiingiza kwenye Mambo ya Kisiasa, Dini anapokuwa kazini. Haya mambo yanahitaji kuwa separated na specialised, ikiwa umeamua kufanya siasa...
Back
Top Bottom