hoja

  1. Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

    Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia. Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
  2. D

    Kama utani, dudu baya ameipeleka mbele hoja ya ushoga Hadi JF😌😌

    Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote. Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga Kila dakika.....yaani Kila unapofungua kinywa basi wewe ni kutaja neno hilo tu. Jamii itaanza kukuwekea...
  3. Kwa nini hakitokea muislamu mjenga hoja wa dini yake anakuwa adui wa waislamu wanzake

    Kuna kijana mmoja kwenye mitandao ya kijamii naona kawa mwiba kwa waislamu wenzake. Ila nacho jiuliza kama mtu anajenga hoja,elimu na jinsi dini kama kuna sehemu waumini wamesahau ni kukumbushana na kuona dunia inavyo kwenda. Kinachoendelea hata zile chuki za kuonesha muwapendi wakristo...
  4. HOJA Hoja kuhusu Posho na Usawa wa kipaumbele katika sekta ya Afya

    Kumeibuka mjadala wenye utata mitandaoni kuhusu suala la posho kwa madaktari, ambapo wananchi pamoja na watumishi wa kada mbalimbali ndani ya sekta ya afya wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu jambo hilo. Moja ya changamoto kubwa inayojadiliwa ni namna siasa na mifumo ya uongozi ilivyoingia na...
  5. Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

    Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa. Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi. 1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
  6. Askofu Mwamakula alivyomtwanga Simbachawene kwa hoja hadi leo hajazinduka

    ASKOFU AJIBU HOJA ZA SIMBACHAWENE JUU YA DKT. NCHIMBI NA KATIBA MPYA! Ndugu Watanzania! Mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma na aliyekuwa Waziri Mwandamizi katika serikali ya Samia na Serikali ya Magufuli, Mhe. George Simbachawene kasikika akisema kuwa katiba ya Tanzania iko imara na haina...
  7. Responded Waziri Gwajima aingilia hoja ya Mdau aliyedai mtuhumiwa aliyemfanyia ukatili mtoto anatamba mtaani

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuchapishwa kwa hoja ya Mdau aliyeelezea tukio la mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kufanyiwa...
  8. Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  9. CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  10. Wanaotoa hoja za kumfukuza Mbowe uanachama bila shaka ni chawa wa CCM

    Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama. Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
  11. Hoja zampandisha sukari Mtangazaji katikati ya kipindi

    😀😀😀 Huyu mtangazaji atafutiwe vipindi vinavyomfaa, atakuja kufia kwenye mic. Apewe kipindi cha taarabu
  12. Hii Hoja ya "Kijinga" Ilitolewa na Nani kwenye Kikao?

    My Take Watu wanaojiita wasomi wengi wao wamejaza takataka kichwani na hawana uwezo kabisa wa kufikiri. https://www.instagram.com/p/DcO_yRZlmax/?igsh=OTUyYXZsZTc4MGlw&igsi=OTUyYXZsZTc4MGlw
  13. Kukosekana Mtaa wa Ellys Hoteli - Nyegezi, MWAUWASA yasema "Miundombinu binafsi ya Mteja inaweza kuchangia kukosa"

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  14. Hoja ya maji Nyamagana kukosa, MWAUSAWA yasema "Huduma inaendelea kila wiki kadri migao inavyotekelezwa"

    Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo: MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  15. Lissu ana hoja: DPP haheshimu amri za mahakama

    Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama. Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi...
  16. Mtu kureport ametukanwa kisa kazidiwa hoja ni utoto

    Kuna watu humu wanaroho nyepesi sana. Yaani hawana emotional maturity kabisa Yaani nimeanzisha uzi unakuja na maneno machafu, then na kujibu kiustaarabu alafu una report kwa modz eti umetukanwa? Aisee mnachekesha sana. Anyways.. Najua mimi ni platinum maana hakuna kiumbe mwingine hapa wa...
  17. Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  18. Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  19. Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia. Nianze mimi kwa kuweka...
  20. JKCI yajibu hoja kuhusu utendaji wa uongozi wa taasisi hiyo, yasema Sheria, Kanuni na Taratibu vinazingatiwa

    Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…