hoja

  1. Zack Abdul

    Utofauti wa hoja na mitazamo sio usaliti

    👉LEMA ametoa hoja na mitazamo yenye uzito mkubwa ndani ya Chama. Hoja zake zinapaswa kutazamwa kwa jicho la tatu, busara na utayari wa kujifunza, badala ya kuhukumiwa kwa misingi ya hisia za kisiasa. 👉Inasikitisha kuona kwamba baadhi ya wanachama wamejenga kasumba ya kumchukulia kila...
  2. Manyanza

    Hoja ya kubadilisha shtaka chini ya Kifungu cha 319 cha CPA inahitaji kuchunguzwa pamoja na masharti ya haki ya kusikilizwa na kujitetea

    Wasalaam Wakuu Kuna jambo ambalo linahitaji mjadala mpana kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Uamuzi wa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu unaacha maswali mengi ya msingi kuhusu tafsiri ya sheria, haki ya kusikilizwa na uhuru wa kujieleza katika nchi inayojitambulisha kama demokrasia...
  3. M

    Hoja za TAL baada ya Katuga kuongea siku ya hukumu zimenifanya nimfananishe TAL na AI

    Nimeshangaa uwezo wa TAL jinsi alivyotema nondo kukabiliana na equation ya Ndunguru na Katuga... hakika jamaa ni AI
  4. M

    Hoja muhimu: Maneno kukinukisha yalitamkwa April 2025 alafu wananchi wakachochewa Oktoba 29 2025?

    Yaani mioyo ya wananchi watanzania ilisubiri miezi sita kupata ghazabu na kuchochewa kisha kukinukisha baada ya miezi sita? Kwa nini hawakukinukusha on the spot. Maana uchochezi ni suala la kuchochea mioyo ya watu na kupata hasira na chuki. Sio suala la kusubiri kama unapika wali na kuku.
  5. instinct desire

    Wafuasi wa CHADEMA, unapotetea hoja si lazima utangulize tusi. Naona wanachama wenzenu akina Mange na Sativa wameshawaharibu

    Humu jukwani si pahala pa vita ni leta hoja ujibiwe kwa hoja bila kuchopeka matusi. Tunashambuliwa sana na matusi kutoka kwa wafuasi wa chadema hasa tukisema chadema kwa sasa haina mwenyekiti chagueni mwingine kwani ni uongo? Niwaombe tuache matusi tujikite kwenye kujenga hoja.
  6. Roving Journalist

    Responded RC wa Tabora, Dkt. Angeline Mabula: Tunafuatilia hoja ya mikopo kutowafikia walengwa Halmashauri ya Nzega Mji

    Novemba 2, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Mikopo ya Halmashauri Wilaya ya Nzega Mji haiwafikii baadhi ya walengwa” ambapo alidai kuwa kuna Viongozi wanatumia majina ya wanachama walioomba mkopo kisha kujineemesha wao. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Mikopo ya Halmashauri Wilaya ya Nzega Mji...
  7. M

    Baba Levo: Hoja zaidi ya Elfu 24 za Ma CAG hazijawahi kufanyiwa kazi, kwa hiyo ni kama huwa tunakuja, tunajadili, watu wanaendelea na shughuli zao

    Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike. Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
  8. BigTall

    Stephen Wasira: Wanaharakati na Wanasiasa tushindane kwa hoja badala ya matusi na uchochezi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewataka wanaharakati na wanasiasa kujenga mijadala ya kisiasa kwa hoja badala ya matusi na uchochezi, akisisitiza kuwa CCM haina uhasama na chama chochote cha siasa. Wasira amesema chama hicho hakikatai kukosolewa...
  9. M

    Hoja kuu ya maridhiano ya Kitaifa

    Wakuu zangu leo mimi nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa ili kuliponya Taifa letu. Hivi maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana kupi na baina ya nani na nani?" Je, Serikali haielewani na...
  10. F

    Napinga hoja ya kuwaombea wafu, maombi hayo hayafanyiwi kazi

    Hello! Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi. Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi...
  11. C

    Mwenyekiti wa vijana AAFP Yusuph amwonya Faris Burhan dhidi ya madai ya utekaji, asema wapambane kwa hoja

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana Taifa kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Yusuph, amempa onyo Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Burhan, akimtaka kuhakikisha ushindani wa kisiasa unafanyika kwa hoja badala ya vitendo vya utekaji. Yusuph ametoa kauli hiyo wakati...
  12. Carlos The Jackal

    Kwanini watu wajinga wàjinga hutumia Fedha na Mali zao kujibu Hoja zinazoelekezwa dhidi yao?

    Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake. Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara . Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo Ama aandike au arekodi video...
  13. Roving Journalist

    Responded TTCL yafafanua hoja ya kuweka mnara Kibiti kisha kutoilipa familia husika

    UFAFANUZI KUHUSU HOJA YA MADAI YA FIDIA YA MAZAO KATIKA ENEO LA UJENZI WA MNARA WA TTCL – KIBITI Kufuatia hoja iliyowasilishwa kupitia mtandao wa JamiiForums yenye kichwa cha habari “TTCL wameweka mnara eneo letu Kibiti, mazao yameharibika na hatujalipwa fidia,” Shirika la Mawasiliano Tanzania...
  14. USSR

    Joseph Kabila na hoja 10 dhidi ya utawala wa sasa wa DRC chini ya Tshisekedi

    OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10 kutoka katika hotuba ya Rais wa zamani Joseph Kabila. 1️⃣ Kongo iko katika hatari ya kusambaratika...
  15. A

    KERO NSSF wananichanganya kuhusu madai yangu, naambiwa nisubiri miezi 18

    Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana nao (yaani nimefanya kazi kwa muda wa Miezi mitano) sasa kwa mujibu wa Taratibu za NSSF mpya...
  16. M

    Mawaziri wapokea taarifa ya wataalam kuhusu mgogoro wa mipaka ya kiutawala na msitu wa Kazimzumbwi

    Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
  17. Gunner11

    Hoja za Dudu baya zinashinda gani? Kwanini walengwa hawapeleki mashaka yao polisi?

    Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote? Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga...
  18. comrade_kipepe

    Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

    Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia. Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
  19. D

    Kama utani, dudu baya ameipeleka mbele hoja ya ushoga Hadi JF😌😌

    Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote. Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga Kila dakika.....yaani Kila unapofungua kinywa basi wewe ni kutaja neno hilo tu. Jamii itaanza kukuwekea...
  20. Kaka yake shetani

    Kwa nini hakitokea muislamu mjenga hoja wa dini yake anakuwa adui wa waislamu wanzake

    Kuna kijana mmoja kwenye mitandao ya kijamii naona kawa mwiba kwa waislamu wenzake. Ila nacho jiuliza kama mtu anajenga hoja,elimu na jinsi dini kama kuna sehemu waumini wamesahau ni kukumbushana na kuona dunia inavyo kwenda. Kinachoendelea hata zile chuki za kuonesha muwapendi wakristo...
Back
Top Bottom