hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Hali ya Hatari Migori: Miundombinu Yaanza Kusambaratika, Hali ya Daraja Yatia Hofu!

    Mvua kubwa zinazotarajiwa au athari za msimu zimeanza kuleta maumivu makubwa katika miundombinu nchini, haswa huko Migori ambapo daraja kuu la eneo hilo liko katika hali ya hatari kubwa. Sehemu kubwa za deki ya zege zimezidi kubomoka, kusambaratika na kumomonyolewa kutokana na uchakavu mkubwa...
  2. Desierto

    JamiiForums Kwa uonevu alioufanya kwa sasa ataishia kufanya mikutano ya ndani tu. Kwa hofu

    Ndo hivo kwa sasa ni mwendo wa ukumbini tu na viwanjani baasi.
  3. Gumasa

    JamiiForums Wakati wa masika ndiyo wakati sahihi wa kununua kiwanja,kwa wenye hofu ya mazingira.

    Wakati wa masika utagundua kwa usahihi kama eneo au kiwanja unachonunua panapitika au la! utagundua kama ni kwenye madimbwi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye chemichemi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye njia ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye majaruba au la.....! Kama unaweza...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  5. Gunner11

    JamiiForums Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu? Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje? Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want? Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana...
  6. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Hali ya Kusikitisha ya Misitu ya Aberdare Yazua Hofu na Mshangao Mkubwa Miongoni mwa Wakenya

    Wakenya wengi wameachwa na mshangao mkubwa baada ya video kuibuka ikionesha hali halisi na ya kusikitisha ya uharibifu wa misitu katika eneo la Aberdare. Picha na video kutoka eneo la tukio zinasambaa kwa kasi mtandaoni, zikionyesha eneo kubwa lililokatwa miti vibaya na kuacha nyufa tupu zenye...
  7. B

    JamiiForums Ukweli Mchungu: Mwanaume akifa na kuacha mali, mwanamke halii maumivu ya kifo, analia kupoteza "Boya" na hofu ya majukumu

    Wakuu salama, Leo nataka tuguse ule ukweli mchungu ambao jamii yetu inaukwepa sana, hasa linapokuja suala la misiba ya ndoa zetu za kiafrika. Hivi mshawahi kukaa chini na kuchunguza kwa makini vilio vya wanawake wengi wa zama hizi waume zao wanapofariki? Ukichunguza kwa jicho la ndani kabisa...
  8. bless on

    JamiiForums Kifua Kizito Usiku Hofu Isiyoelezeka

    Unazinduka katikati ya usiku wa manane. Huwezi kusogeza kiungo hata kimoja. Kifua chako unahisi kizito sana, kama kuna kitu kikubwa kimekukaa. Unajaribu kupiga kelele lakini sauti haitoki. Unahisi uwepo wa kiumbe fulani chumbani kwako kitu ambacho hakipaswi kuwepo hapo. Muda mfupi baadaye...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Hofu Siyo Heshima ya Kweli

    Ukishakuwa na watoto wanaofikiri kukuheshimu ni kukuogopa, watoto wasioweza kuonesha hofu zao mbele yako, wasioweza kukasirika mbele yako, wasioweza kukueleza hisia zao, wasioweza kusema mawazo yao mbele yako, ni suala la muda tu utashangazwa wakishaanza kuamini huna unachoweza kuwafanya...
  10. M

    JamiiForums Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  11. 1995El

    JamiiForums Hofu ya dunia na maisha

    HOFU YA DUNIA NA MAISHA — KUNA SIKU TUTAISHI BILA KUOGOPA? Kuna wakati unakaa kimya peke yako, halafu unaanza kujiuliza maswali ambayo huwezi hata kumwambia mtu. Kesho itakuwaje? Nitafika wapi? Nitafanikiwa kweli? Nitapata pesa? Nitakuwa salama? Watu ninaowapenda watabaki kuwa nami mpaka...
  12. Moshilabusara

    JamiiForums MATANGAZO YA TAHADHARI YA EL NIÑO YANATUTIA HOFU BADALA YA KUTUPA MAJIBU YA KUFANYA

    Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana ukweli ni kwamba, nyumba nyingi tunazoishi ni za hali ya kawaida tu na si kila mtu ana uwezo wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Balile: Mwandishi unasema una hofu, hofu ya nini? Mtaua uandishi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa. Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya...
  14. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Hofu yangu ni visasi

    Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri. Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani? Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
  15. 3

    JamiiForums Hofu ya Talaka: Titi Brown Asitisha Mipango ya Ndoa

    Mcheza densi na msanii maarufu kutoka Rwanda, Thierry Ishimwe (Titi Brown), ameweka wazi kusitisha kwa muda mipango yake ya kuanzisha familia, akitaja kuongezeka kwa migogoro ya ndoa na changamoto za kisaikolojia zinazowakabili wanandoa wengi katika jamii ya sasa kuwa chanzo kikuu cha uamuzi...
  16. Yoda

    JamiiForums Hofu ya kifo inatoka wapi ikiwa mbinguni, peponi kupo kweli na sio story tu?

    Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema. Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini...
  17. Tochuku

    JamiiForums Ile hofu miongoni mwa watu inaendelea kuondoka kila siku

    Kila nikiangalia TUKIO la daktari aliempasua trafiki baada ya kuleta ungese wake, nimekaa nikafikiria sana, naona na wenzake madaktari wanakua kitu kimoja na wanapanga kugoma nchi nzima. Tanzania inayokuja nimekaa nikaishia KUCHEKA TU mana nakuapia Kuna siku Hawa mnaowaita watekaji mtu...
  18. M

    JamiiForums Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  19. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya ‘Tutaenda Wapi?’ Wagonjwa wa Sickle Cell Kisumu Waingiwa na Hofu Victoria Annex Ikikabiliwa na Kufungwa

    Wagonjwa wanaoishi na sickle cell mjini Kisumu wameingiwa na hofu kuhusu mustakabali wa matibabu yao kufuatia taarifa kwamba Victoria Annex, kituo kilichokuwa kimetengwa kutoa huduma maalum kwa wagonjwa hao, kinatakiwa kuondolewa katika eneo hilo. Baadhi ya wagonjwa wanasema walipewa taarifa ya...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Jinsi ya kumtengenezea mwanaume hofu ya kukupoteza

    Thamani yako kwake inategemeana na Kiasi cha hofu aliyonayo. Asipokuwa na hofu atakutreat vyovyote atakavyoona inafaa. Haya ndiyo mambo utakayoyafanya Kukusaidia uweze Kumtengenezea hiyo hofu. 1. Muoneshe wanaume wanaokutaka wanamzidi yeye. Hii haitakiwi Kwa kiburi wala dhihaka, bali Kwa namna...
Back
Top Bottom