hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya comments za members wa JF zilizonivutia sana

    Hi guys....yeah sawa na kichwa cha habari hapo juu, hizi hapa ni baadhi ya comments ambazo zilinivutia sana kutoka kwa members mbalimbali wa jf..... 1) Ukitaka kuiharibu jamii yoyote mwache mwanamke awe sehemu ya maamuzi ya mwisho. Mwanamke ni mshauri mzuri ila sio muamuzi mzuri.yeye anafanya...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wenye kauli hizi uwaepuke, zinaambukiza

    1: Mimi au sisi ni masikini Mtu anayekiri umasikini ataishia kuwa masikini tu na ukimuendekeza atakuambukiza. 2: Maisha ni magumu Haisaidii kitu kukiri ugumu wa maisha. Tumia Muda mwingi kutafuta suluhisho. Ukizungukwa na watu wa namna hii kila kitu na wewe utakiona ni kigumu. 3: Haiwezekan i...
  3. JamiiForums Tanzania Kunani hizi timu ndogo kuzikamia timu kubwa

    Jana Azam na mastaa wao wote ( sopu,idrisu,feitoto,nado,lyanga,idrissa,bangala ) lakini wakadroo na Dodoma Leo yanga na mastar wao wote(kundubela,yaoyao,masingeli,azizi kibukta,pakome kakoma,mudaumemuathir yahaya, liquid protector diara,Ibrahim kibaka,suraboy,kibamarage,morokoko,mzizi na kikosi...
  4. JamiiForums Tanzania Wale wa hizi enzi tukutane hapa

    Naomba Mods msiufute uzi huu wala kuuhamishia mjuako, binafsi hizi picha zimevuta taswila ya mambo mengi akiwepo mzee pekee aliyekuwa na duka mtaani kwetu, ilikuwa ukienda kununua bidhaa anakuuliza chenji yako ni kiasi gani? Ukishindwa hesabu kama unasoma madarasa ya kuanzia Std 3 na kuendelea...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika. Halafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa...
  6. JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  7. JamiiForums Tanzania Mkitoka Kanisani, Naomba Mtupe Elimu ya Hizi Alama

    Angalia kwa hao black deacons around the neck hizo alama tatu zina maana gani?.
  8. JamiiForums Tanzania Wale watoto wa siku hizi haya mambo mnayasikia tu.

    Zamani tulikuwa tunakula kwa pamoja,hii ilisaidia kuondoa tabia ya uchoyo,ilijenga uhusiano,na ilimwondolea uvivu wa kula mtoto.Lakini wazazi wengi sasa watoto wao wanakula Kila mmoja peke yake,kwakweli wanamic hayo niliyosema.tazama video hapa na picha.
  9. JamiiForums Tanzania Tamko litolewe kukemea mwendokasi wa hizi treni.

    Ajali mbaya ya gari moshi kulambana uso kwa uso na basi linasosadikiwa kumilikwa na Magereza ya Ukonga jijini Dar es salaam. Ajali hiyo imetokea muda wa jioni siku ya Mawlid maeneo ya Ukonga ambapo chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana lakini mashuhuda wanasema Dereva[Captain] wa gari-moshi...
  10. JamiiForums Tanzania Naweza pata kwa supplier yupi hizi airpods pale alibaba?

    Nimejaribu kusearch sikufanikiwa kupata hizi airpods msaada kwa anayefahamu supplier anayeuza nahitaji kuagiza kutoka alibaba
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni zana tulizotumia wana JF wa kale. Welcome to our museum

    Utu uzima dawa, ya kale ni dhahabu. Tena ya kale hayanuki. Twende sawa sasa Leso hii ilitumiwa na Maxence Melo enzi zile akiitwa computer Guru
  12. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa school fees structure za hizi shule

    Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za: 1. BAOBAB 2. MARIAN 3. HAMES Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane. Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
  14. JamiiForums Tanzania Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

    Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu. Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara. Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
  16. JamiiForums Tanzania Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo: 1 Maumivu mkali ya mgongo 2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo) 3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha 4 Maumivu ya shingo na mabega 5 Vichomi sehemu ya kiuno Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

    Wanajamvi nimeshangaa kusikia kumiliki kifaa kipya kama hiki ni almost 10millions. Kina maajabu gani zaidi?
  20. B

    JamiiForums Tanzania CCM izisikie sauti hizi za ukombozi

    Hali si hali. Sauti za kudai haki na usawa hizi siyo za kupuuza tena: Kwa hakika tumedhamiria mno. "Hamna uchaguzi mkuu bila tume huru." Ikawaingie vyema akilini. Ipo tofauti kubwa baina ya kutoshiriki uchaguzi na uchaguzi kutokuwapo. Busara na ikawaingie ma CCM wahafidhina hawa kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…