hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Siku hizi Taasisi yenu ya 'Makumbusho' haiwezi tena Kusomesha Watumishi wake Masters na PhD's na inawataka wajisomeshe kwa Pesa zao?

    Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
  2. JamiiForums Tanzania Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

    Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini. Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk. Wa mama lishe mara nyingi chakula hupikia kwao majumbani na kubeba Kila Asubuhi Hadi sehemu husika. Mara...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi kampuni za kukopesha zinaruhusiwa kukamata mali za wadaiwa wao? Akina mama wanalia kila kona ya Tanzania.

    Wamama wajasiriamali wanalia kila kona. Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni. Je huu ni utaratibu?
  4. JamiiForums Tanzania HIZI HAFLA ZA KUTIA SAINI GHARAMA HUA NANI ANALIPA?

    Hafla zimekua nyingi sana kuzidi ytendaji na utekelezaji , hizi hafla ni nani hua analipa gharama za eneo husika , mapambo , na per dm za washiriki ?
  5. JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke, kama hukuenjoy nyakati hizi, hutoenjoy milele

    Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki.. Kipindi cha mimba: mwanamke kama huku enjoy kipindi una mimba (hasa mimba ya kwanza) my dear huto enjoy milele😄 Hiki kipindi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

    Wazee mambo vipi Mnyunguli hapa. Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nini kimetokea kiasi kwamba Wananchi hawataki kujiandikisha hadi wanafatwa majumbani na wanatoa majibu ya dharau kwa wahamasishaji?

    Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani...
  9. JamiiForums Tanzania Upotofu, ulaghai na uchafu ndani ya kanisa kiini chake kikubwa ni viongozi wa dini kukwepa haya hizi mbili ndani ya Biblia

    Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi. Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ni miongoni mwa sababu zinazopelekea wanaume kufa mapema.

  11. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Wenu hizi Ndala Nizivae au Nimrudishie?

    Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala. Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi. Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndege zinazotengenezwa Tanzania zinauzwa bei gani?

    Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi zinagharimu kiasi gani?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Takwimu rasmi kuanzia mwaka 1965 waumini milioni 18,555,581 wamejitoa kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato, je Nini chanzo?

    Wadau hamjamboni nyote? Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024 Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581 Niwatakie sabato njema Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
  14. JamiiForums Tanzania Napata wapi hizi movie?

    Romeo must die na paris has fallen season 2.
  15. JamiiForums Tanzania Sifa hizi ukiwanazo huimarisha mahusiano yako na jamii yako pia na Mungu

    1)UNYENYEKEVU Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako. Kuacha majivuno,kiburi na dharau. 2)KUTOHUKUMU WENGINE. unapokuwa unanyooshea wengine kidole kuwahukumu ,mkono wako huo mmoja wenye vidole vitano,ukimnyooshea mtu kidole shahada kimoja, vidole vyako...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hizi bei za nyama kupandishwa kiholela nani wa kuwasaidia Wananchi? Sasa hivi kilo TZS 12,000/ Bodi ya nyama kazi yake nini?

    Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kichekesho cha hizi 2 mbeleko fc za kariakoo kushangilia droo wakati hazijawahi vuka robo fainal upuuzi mtupu

    Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf , washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo. Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi BOT mmeidhinishaje hizi riba za hawa mikopo mitandaoni?

    Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT wameukemea baada ya wabunge nao kuona ndugu na jamaa zao nao wamekua wahanga baada ya wao wenyewe...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
  20. JamiiForums Tanzania Visa hivi ni vya kuvipa muda

    Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida. Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend. Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…